検索ワード: kunawakati inakubidi kufanya maamuzi magumu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kunawakati inakubidi kufanya maamuzi magumu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

umasikini na maamuzi magumu

英語

poverty and tough decisions

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tumebarikiwa na akili za kuweza kufanya maamuzi na kutofautisha kati ya mema na mabaya.

英語

we have been blessed with a mind of our own that we can use to make decisions and distinguish between right and wrong.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

majukwaa yote yametengwa katika mada tisa kuwasaidia wananchi kufanya maamuzi ya busara wakati wa uchaguzi.

英語

the platforms were categorized into 9 main topics to help citizens make an informed decision during the elections.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hii itasaidia umma kufanya maamuzi yanayotokana na ufahamu wa kutosha kuhusu nani wa kumchagua ifikapo mei 19.

英語

this will help the public to make an informed decision on who to vote for on may 19.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hilo lingefanya kazi ya ufuatiliaji iwe rahisi kadhalika ingewasaidia watumiaji wa barabara kufanya maamuzi ama ya kuogelea au la.

英語

it would have made it easier for monitoring as well as for traffic to decide whether to “swim” through or not.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

umasikini umewalazimisha wanawake kufanya maamuzi magumu na ya hatari kuhusiana na maisha yao ya kimapenzi, anasema jerry b. tarbolo jr, kutoka umoja wa vijana wa liberia.

英語

poverty has forced many women into making difficult and dangerous decisions regarding their sex life, says jerry b. tarbolo jr, from the federation of liberian youth.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

je, wanawake nchini uganda wanapata ushiriki katika katika michakato yote ya kisiasa na kufanya maamuzi nchini uganda?

英語

do women in uganda have full access to participation in all political process and decision making in ug? #mpsengage pic.twitter.com/8oz5plwdk1 — parliament watch (@pwatchug) february 25, 2015

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadhi ya wananchi wa tunisia wameamua kufanya maamuzi ya makusudi ya kutokupiga kura, wakati wengine wakiamua kuelekeza kura zao kwa vyama vichache vyenye nguvu za kisiasa ambao wanaonekana kuzoa kura nyingi.

英語

some tunisians have made the deliberate choice of not voting, while others have decided to concentrate their votes on a few political forces and alliances that are deemed capable of amassing a majority of ballots.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

haha iliitaka serikali kufanya maamuzi kwa kuwashirikisha wadau wakuu wa elimu na kisha kuja na mkakati mzuri wa matumizi ya fedha ili kuwa na uhakika wa ustawi vya vyuo vikuu mara baada ya mahitaji ya udahili kupitiwa upya ili kuboreshwa zaidi.

英語

haha demanded that the government make decisions with the involvement of all stakeholders and come up with a better financial plan to ensure the sustainability of universities after the quotas are set back to a higher level.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na hicho ndicho ninachotaka kukifanya vizuri zaidi, nataka kuwa baba anayefanya bila hata kutambua, nataka kuwakumbatia, kuwabusu, kuwapa fursa bora za kufanya maamuzi bora na kuwasaidia wanapokuwa hawajafanya chema, sichelewi kuwonyesha upendo na kuwajali, hata kama kuna nyakati naweza kweli kuwafinya.

英語

and that's what i want to improve,i want to be a father that does things without noticing it, i want to hug, kiss my children, present them the best option to make the best decisions and support them when they don't make the good ones, never hesitate in demonstrating my love and care, let alone when they earn a smack on the head.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"bila ya mtu– vyombo vya habari, wanasiasa, watetezi wa haki za raia – wasipoingilia kati na kutatua tatizo, viongozi wa serikali wataendelea kuwa huru kufanya maamuzi wanayoona wao yanafaaa, na yasiyo na tija yoyote kwa jamii.

英語

"unless somebody – the media, politicians, civil society – steps up to fill the gap, decision makers in government will be left free to make whatever decisions they choose, unencumbered by any need to protect the public interest.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kabeya tshikuku, profesa katika taasisi ya utafiti ya kiuchumi na kijamii (ires) katika chuo kikuu cha kinshasa, anaamini kuwa mantiki ya kibiashara ni kulazimisha watunga sera wa afrika kufanya maamuzi magumu kati ya tunu za msingi wa ustaarabu wao (mshikamano wa kifamilia, ustawi wa marafiki zao nk) na utawala wa biashara, unaohusishwa na kutafuta faida tu bila ya kujali ubinadamu.

英語

kabeya tshikuku, professor at the institute of economic and social research (ires) at the university of kinshasa, has argued that business logic is forcing african policymakers to make a difficult choice between the core values of their civilization (family solidarity, peers well being and other support platforms) and business administration, linked to a search for profit devoid of human consideration.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
8,045,055,140 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK