検索ワード: kuondoka (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kuondoka

英語

without taking in account

最終更新: 2020-04-09
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

naam, niko tayari kuondoka

英語

最終更新: 2021-04-28
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na baadae wakalazimika kuondoka.

英語

they consequently left acrimoniously.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watadumu humo; hawatataka kuondoka.

英語

"wherein they shall dwell (forever). no desire will they have to be removed therefrom."

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

plz kamwe kuondoka peke yangu

英語

plz never leave me alone

最終更新: 2016-11-09
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kesho ni siku yangu ya kuondoka

英語

today is my day to leave

最終更新: 2024-01-19
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

huwezi kumwona sasa hivi mpaka wakati wa kuondoka

英語

mymemory warning: you used all available free translation for today. contact alberto@translated.net to translate more

最終更新: 2014-04-28
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watu wanasimama na kuondoka huku wamevunjika moyo. #egypt

英語

people standing up and leaving disappointed. #egypt

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wengine waliona kwamba walichokiona kinatosha wakaamua kuondoka.

英語

some decided they had seen enough and left the stadium.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

alinieleza hamu yake ya kuondoka senegal katika mkutano wetu wa kwanza.

英語

yet this is the choice that sebastian prothmann, a native of germany, made after he arrived in dakar, senegal a few months ago. the following video shows prothmann at work :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

waandamanaji waliwaomba wanawake na watoto kuondoka kwenye maeneo yenye ghasia.

英語

protesters called on women and children to leave the site of clashes.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

"kutokana na uonevu wa wanajeshi, tulilazimika kuondoka na kuiacha ardhi yetu.

英語

"because of the repression of the soldiers, we were forced to evacuate and leave our land.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kuondoka kwa mtu huyu mwenye sifa kubwa kulifuatiwa na kujitoa idadi ya wanachama hai wengine.

英語

his high-profile departure was accompanied by the withdrawal of a number of other active members.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mohammed jamjoom, ambaye ni mwandishi wa cnn aliamriwa na wizara ya habari kuondoka nchini.

英語

mohammed jamjoom, a reporter for cnn was asked by the ministry of information to leave the country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nikarudia kwamba alikuwa si muungwana na kwamba asingeipata fedha yangu leo na hata siku nyingine na kuondoka.

英語

i repeated that he was rude and wouldn't get my money today or in the future and left.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@tweetingchaga: kuondoka kwa waingereza kutoka tanganyika mwaka 1961 kulifanyika kabla ya wakati.

英語

@tweetingchaga: the british departure from tanganyika in 1961 was premature.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

walipewa dakika thelathini kupakia vitu vyao na kuondoka nchini, bila ya uhakika wa kuwaona tena watoto wao wa kimoroko.

英語

they were given thirty minutes to pack their belongings and leave the country, with no guarantee of ever seeing their moroccan children again.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maryam kwa upande wake, ilimbidi kuondoka nchini humo baada ya kushikiliwa kwenye uwanja wa ndege alipojaribu kumtembelea baba yake.

英語

maryam had to leave bahrain after being detained at the airport when she tried to visit her father.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

haukupita muda, walizingirwa na zaidi ya magari 30 ya polisi , na na kisha dereva wao kutiwa nguvuni na wote walizuiwa kuondoka.

英語

they were quickly surrounded by over 30 police cars , and their driver was arrested and they were prohibited from leaving.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

alikuwa akikimbia hatari ya kupoteza maisha yake, na ufumbuzi pekee aliokuwa nao ulikuwa ni kuondoka haraka angola, na kurudi nchini mwake.

英語

she was running the risk of losing her life, and the only solution that she had was to immediately leave angola, and return to her country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,800,099,905 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK