プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
"jihadharini na walimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamevalia kanzu. hupenda kusalimiwa na watu kwa heshima masokoni, huketi mahali pa heshima katika masunagogi na kuchukua nafasi za heshima katika karamu.
beware of the scribes, which desire to walk in long robes, and love greetings in the markets, and the highest seats in the synagogues, and the chief rooms at feasts;
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
katika mafundisho yake, yesu alisema, "jihadharini na walimu wa sheria ambao hupenda kupitapita wamejivalia kanzu ndefu na kusalimiwa na watu kwa heshima sokoni; hupenda kuketi mahali pa heshima katika masunagogi,
and he said unto them in his doctrine, beware of the scribes, which love to go in long clothing, and love salutations in the marketplaces,
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています