検索ワード: kurithi (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kurithi

英語

ragnarok

最終更新: 2023-06-07
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

itakuwa safari ndefu kwa watawala wengi wa afrika kurithi tunu ya asili ya #madiba.

英語

would b a "long walk" 4 many african leaders to "inherit" the values essence of #madiba.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

sehemu ya ardhi hii iko kwenye ardhi ya kurithi ya mababu wa jamii za wenyeji, kama vile guaraní.

英語

josé Ángel lópez barrios of bienvenidos! describes the isolated community where the incident took place:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tetesi zilianza kusambaa nchini uganda kwamba rais alikuwa akimwunga mkono mkewe janet katika mbio za mama huyo kutaka kurithi kiti cha urais baada ya mumewe.

英語

rumors started moving round in uganda that the president was supporting his wife janet for succession.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huyu ni hala, ambaye bado hajatimiza hata mwaka mmoja wa maisha yake, lakini tayari anabeba hisia za kurithi alizo nazo kila mpalestina anayeishi uhamishoni.

英語

this is hala, who has not yet completed her first year of life, but she carries the inherited feelings of every palestinian exile.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huyu roho ni dhamana ya kurithi yote yale mungu aliyowaahidia watu wake, na jambo hili latuhakikishia kwamba mungu atawakomboa kabisa wote walio wake. tuusifu utukufu wake!

英語

which is the earnest of our inheritance until the redemption of the purchased possession, unto the praise of his glory.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati watu wa kuwait walipoanzisha maandamano makubwa ambayo hayakuwahi kutokea ya kuonesha waziwazi kutokukubaliana na mabadiliko ya sheria ya uchaguzi yaliyopitishwa chini ya mtawala wa kurithi kufuatia kuvunjwa kwa bunge, watu wa misri wametumia muda wao mwingi katika twita wakitoa ushauri kwa watu wa kuwait kuhusiana na yapi ya kufanya na yapi ya kutokufanya.

英語

as kuwaitis embarked on their largest ever protest to denounce changes to the electoral law, passed by the country's hereditary ruler while the parliament was dissolved, egyptians kept themselves busy on twitter, dishing advice to them on what to do and not to do.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

shirika la lcdmf (vifupisho vikiwa na maana ya tokomeza anemia nchini madagaska) linafanya kazi ya kutoa elimu kwa watu wa madagaska kuhusiana na ugonjwa huu wa kurithi unaoathiri asilimia 2 ya watu wa madagaska.

英語

the organization lcdmf (the initials stand for fight against sickle-cell anemia in madagascar) works to make the population more aware of this genetic disease affecting 2 percent of the madagascan people.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,799,505,136 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK