検索ワード: kutambua na kuripoti ghasia (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kutambua na kuripoti ghasia

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kutambua na kuigiza athari za dawa za kulevya

英語

dangers of drugs to our lungs

最終更新: 2024-03-09
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mradi wa chaguzi za afrika hutumia nyenzo mpya za habari kufuatilia na kuripoti chaguzi katika nchi za kiafrika.

英語

the african elections project uses new media to monitor and report on elections in african countries.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huku tukiendelea kufanya kazi na kuongea kama watu binafsi, pia tunataka kutambua na kukuza malengo na maslahi tunayoshirikiana pamoja.

英語

while we continue to work and speak as individuals, we also seek to identify and promote our shared interests and goals.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jitihada za girifna ni mfano dhahiri wa uandishi wa habari za kiraia katika nchi ambapo uhuru wa kujieleza na kuripoti habari umebinywa.

英語

girifna’s efforts portray the advantages of citizen journalism in a country where free speech and reporting is suppressed.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

vyama vya siasa na mashirika yasiyo ya kiserikali yalitumia nyenzo kadhaa za habari za kijamii kupiga kampeni, kufuatilia na kuripoti uchaguzi wa namibia 2009.

英語

political parties and non-governmental organisations used a number of social media tools to campaign, monitor and report on namibia elections 2009.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tovuti ya ufuatiliaji kura sudani, inayoongozwa na taasisi ya sudani ya utafiti na sera, imepanga kutumia ushahidi ili kuwawezesha raia wake kufuatilia na kuripoti juu ya uchaguzi.

英語

sudan vote monitor, led by the sudan institute for research and policy, plans to use ushahidi to enable citizens to monitor and report on the elections.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nchi zinatofautiana pia katika taratibu zake za kupima na kuripoti, kwa hivyo ulinganisho wa idadi ya visa vilivyoripotiwa hauelezei hadithi kamili ya jinsi janga hili limeendelea katika maeneo tofauti.

英語

countries also differ in their testing and reporting practices, so comparisons of the number of reported cases do not tell the full story of how the epidemic has progressed in different areas.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika toleo hili la gv face, tunavunja ukimya kuhusu jimbo la balochistani kwa kuzungumza na wanaharakati na wanandishi wa kipakistani na kibalochi wanaothubutu kuzungumza na kuripoti kuhusu uvunjifu wa haki la binadamu kwenye jimbo hilo.

英語

in this episode of gv face, we break the silence on balochistan by talking to pakistani and baloch activists and journalists who dare to speak out and report on human rights abuses in the province.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

@africanelection ni mradi unaokuza uwezo wa waandishi wa habari, waandishi wa kiraia kutumia vyombo vipya vya habari kwa minajili ya kufanya uangalizi na kuripoti uchaguzi barani afrika.

英語

@africanelection is a project that enhances the the ability of journalists, citizen journalists to use new media to monitor and report on elections in africa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jukwaa litawawezesha raia kuuangalia mchakato wa uchaguzi na kuripoti matukio ya udanganyifu yanayovuruga uchaguzi na ukiukwaji wa taaratibu nyinginezo kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno ama kupiga simu kupitia nambari zilizotolewa katika lugha kuu nne (kihausa, ki-igbo, kiyoruba na kipidgini).

英語

the platform makes it possible for citizens to monitor the electoral process and report incidents of electoral fraud and other malpractices simply by sending text messages or calling dedicated numbers in four major languages (hausa, igbo, yoruba and pidgin).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
8,038,639,988 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK