人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。
プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
mkopo wa kianzio
salary in advance
最終更新: 2021-06-07
使用頻度: 1
品質:
参照:
kuwezesha mazingira wezeshivya upatikanaji wa mikopovyenye masharti nafuu kwa wanawake wajasiriamali 3035 katika mikoa yote 26 chini6
strengthen services and protect rights for specific groups including young women and persons with disabilities
最終更新: 2023-03-13
使用頻度: 1
品質:
参照:
mnamo tarehe 5 februari 2010 aiuba cuereneia, waziri wa mipango na maendeleo na mjumbe wa serikali anayeshauriana na wafadhili, alituma majibu kwa g19, iliyoeleza msimamo wa serikali na kutoa masharti nafuu.
on 5 february 2010 aiuba cuereneia, minister for planning and development and the main government negotiator with the donors, sent a reply to the g19, setting out the government position and making few concessions.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
wanaweza kupanga uokoaji, kutambua ndege zilizopangwa zisizo za kawaida, au kukupa mkopo wa dharura ili kulipia usafiri.
they may be able to organize an evacuation, identify non-regularly scheduled flights, or give you an emergency loan to pay for transport.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
参照:
mwandishi mwenye kejeli wa ghana: ato kwamena dadzie “chukua mkopo wa nyumba, bw. rawlings”:
ghana’s most irreverent; ato kwamena dadzie says, "get a mortgage, mr. rawlings":
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
kama jumba lake la kifahari la mashariki ya legon halifai kwa ajili ya kuwa makazi yake ya kimapinduzi, basi inampasa aende kwenye shirika la mikopo ya nyumba la ghana akachukue mkopo wa nyumba.
if his east legon mansion is not fit for his royal revolutionary habitation, he should go to ghana home loans and get a mortgage.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
ikiwa umekwama kwa sababu ya janga hili, ubalozi wako ulio karibu unaweza kukusaidia kupata ndege ya kukupeleka nyumbani, kupanga mkopo wa dharura ili uweze kununua tiketi, au kukupa pasipoti ya dharura.
if you have been stranded due to the pandemic, your nearest consulate may be able to help you find a flight home, arrange an emergency loan so you can buy a ticket, or provide an emergency passport.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
参照:
katika awamu ya pili ya mwezi machi, wafanyakazi milioni 4 wafaransa walituma maombi ya manufaa ya kutoajiriwa na wafanyakazi milioni 1 waingereza walituma maombi ya mpango wa mkopo wa kwa wote.takriban kampuni nusu milioni nchini ujerumani zimewatuma wafanyakazi wao katika mpango unaofadhiliwa na serikali wa kazi ya muda mfupi unaofahamika kuwa kurzarbeit.
during the second half of march, 4 million french workers applied for temporary unemployment benefits and 1 million british workers applied for a universal credit scheme.almost half a million companies in germany have sent their workers on a government-subsidized short-time working schemes known as kurzarbeit.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
参照: