検索ワード: kutolewa kwa wananchi (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kutolewa kwa wananchi

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

fedha zaidi zimeahidiwa kutolewa kwa wananchi wa saudia, ahadi ambayo mfalme abdulla ameitoa kupitia hotuba yake kwa taifa leo.

英語

more money was promised to saudis today, following an address by king abdulla to the nation.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kutolewa kwa orodha ya wateuzi huashiria kuanza kwa zoezi la kupiga kura kwa tuzo hizo.

英語

the release of the nominees list begins the voting phase of the awards.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na sasa lugo amejitokeza na amekubali wajibu, anaandika kwamba suala hilo limefikia tamati kwa wananchi wa paraguai .

英語

now that lugo has come forward and will accept responsibility, he writes that the issue is closed for the paraguayan people .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hii ndio hukumu kubwa zaidi kwa watu wengi kuwahi kutolewa kwa wakati mmoja katika historia ya mahakama za misri.

英語

this is the biggest mass death sentence in the history of egyptian judiciary.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

trini inapendekeza kwamba kutolewa kwa matokeo haya kunaweza kuchukuliwa kuwa ni ya kiwango cha chini, na yamekuja kwa kuchelewa.

英語

a trini speaks suggests that the release of the findings may be a case of too little, too late.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kujadili sheria, kujadili bajeti, kuamua kuhusu zoezi la uchaguzi na kutolewa kwa haki ya mpito na kubadilika kwa diplomasia.

英語

debating laws, debating a budget, deciding on an electoral process and transitional justice and changing diplomacy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mara baada ya kutolewa kwa uamuzi huu, raia wa naijeria walikusanyika kwenye mitaa ya jiji la lagos na abuja kwa ajili ya kufanya maandamano.

英語

ahead of the decision, nigerians gathered for protests in the streets in lagos and abuja.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa baada ya maandamano, meya wa jiji hilo aliahidi kuongeza muda wa siku 10 zaidi kwa wananchi kutoa maoni yao.

英語

a news conference was held after the protest, and the mayor promised to extend another 10 days for public comment.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

pendekezo hilo ambalo ni la pekee lilikuwa kwamba rasimu hiyo ya katiba ingetolewa kwa wakati mmoja kwenda serikalini na kwa wananchi na wakati huo huo kura ya maoni ingefanyika.

英語

the promised landmark difference with the previous processes was to be that the draft constitution was going to be simultaneously released to both the government and the public and a referendum held.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nikiwa mmojawapo wa watu wanaopenda lugha, ninasikitishwa ninaposoma habari zinazotoka wakati wa kutolewa kwa kitabu kipya cha ramani ya lugha zilizo hatarini kutoweka duniani cha unesco.

英語

as someone who loves languages, i am chagrined to read the news coming out of unesco's presentation of the updated atlas of the world’s languages in danger of disappearing.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hivyo, tiba ya afya ya kiakili inapaswa kutolewa kwa wagonjwa wa covid-19, watu wanaoshukiwa na watu waliogusana nao pamoja na umma wa jumla ambao wanahitaji.

英語

thus, mental health care should be provided to covid-19 patients, suspected individuals, and people in contact with them as well as the general public who are in need.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

duniani kote, hakuna nchi zinazosemekana kuwa zimeendelea zinazotumia lugha za kigeni. matumizi ya lugha za wakoloni waliotawala nchi nyingi za afrika yamechangia kubaguliwa kwa wananchi wengi katika mchakato wa maendeleo.

英語

the world over, none of the so-called developed economies operates in a foreign language, and the use of the former colonial languages in many african countries has definitely contributed to the marginalization of the majority in the development process.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kutolewa kwa mwakilishi wa zambia, mwanamuziki maarufu anayefahamika kama mampi, kutoka kwenye mashindano yanayoendelea hivi sasa ya big brother africa toleo la saba, kumepokelewa kwa hisia na maoni tofauti na raia wa mtandaoni.

英語

the eviction of zambia’s representative, musician popularly known as mampi, from the on-going big brother africa seventh series, has been received with mixed feelings from netizens.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kampeni hiyo inaendeshwa na shirika lisilo na kiserikali linalotoa huduma za afya ya uzazi, ikiwa na ujumbe "kutolewa kwa mimba 3980,000 isiwe kosa la jinai."

英語

the campaign is being spearheaded by a non-profit organization offering sexual and reproductive healthcare services, carrying the message: "398,000 abortions should not be illegal."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

badala yake, anasema, muswada huo unaonesha “kupuuza uhuru wa habari na kujieleza, mamlaka makubwa kwa polisi, na ulinzi unaotarajiwa kwa wananchi wa kawaida.”

英語

instead, she says, it shows an "overt disregard for press freedom and freedom of expression, excessive powers to police, and protections afforded to ordinary citizens."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

@zittokabwe: natuma salamu zangu za rambirambi kwa wananchi wa #ethiopiakufuatia kifo cha waziri mkuu #meleszenawi.ni matumaini yangu kwamba kutakuwa na muendelezo wa kidemokrasi huko abbysinia.

英語

@zittokabwe: my condolences to the people of #ethiopia following the death of prime minister #meleszenawi hope for a democratic developmental abbysinia

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kila mara safarini nimekabiliwa na hatari za mafuriko ya mito, na hatari za wanyama; hatari kutoka kwa wananchi wenzangu na kutoka kwa watu wa mataifa mengine; hatari za mjini, hatari za porini, hatari za baharini, hatari kutoka kwa ndugu wa uongo

英語

in journeyings often, in perils of waters, in perils of robbers, in perils by mine own countrymen, in perils by the heathen, in perils in the city, in perils in the wilderness, in perils in the sea, in perils among false brethren;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

akiwa ni mwanamke wa kwanza kuwa rais nchini humu, aliyerithi uchumi uliokuwa taabani kutoka kwa mtangulizi wake, hayatibingu wa mutharika, amekuwa akisababisha hasira kwa wananchi wake kwa kutekeleza bajeti zinazosabisha ugumu wa maisha pamoja na hatua zake za mabadiliko ya kiuchumi yenye maumivu makali kwa wananchi zinazoonekana kutafuta kuiridhisha jamii za kimataifa, ambazo misaada yake ni takribani kiasi cha asilimia 40 ya bajeti ya malawi.

英語

the country's first female president, who inherited a crumbling economy from her late predecessor bingu wa mutharika, has increasingly drawn ire at home for implementing austerity budgets and other painful economic reforms in part to please the international community, whose aid accounts for about 40 percent of malawi's budget.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,794,603,693 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK