検索ワード: kuvamia (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kuvamia

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kadhalika kulikuwa na wale ambao hawakupenda wahindi kuvamia sherehe za oscar:

英語

and of course there were many who did not like indians invading the oscars:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

alaa alitiwa kizuizini baada ya polisi kuvamia nyumba yake siku mbili baadaye na kutuhumiwa kuandaa maandamano.

英語

alaa was detained after police stormed his house two days later and accused him of organizing the protest.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa pamoja, huwa utaratibu wa kuvamia anga la blogu kwa kuchapisha maelfu ya posti kuhusu masuala ya maji, mabadiliko ya tabia nchi, umasikini, chakula na nguvu ya pamoja.

英語

together, we have massively hit the blogosphere with thousands of posts on water, climate change, poverty, food and the power of we.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mama na watoto wake wawili wa kike wameuawa kwa kufyatuliwa risasi mara baada ya watu watano waliokuwa wameficha nyuso zao kuvamia nyumba yao iliyopo katika mji mdogo wa chilas huko gilgit, pakistan, tukio lililo taarifiwa kuwa ni mauaji ya kulinda heshima ya familia.

英語

a mother and her two teenage daughters were shot to death after five masked men broke into their house in the small town of chilas in gilgit, pakistan in what was reported to be an honor killing.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

muda mfupi baada ya waandamanaji kuvamia bunge la taiwani wakipinga makubaliano yenye utata kati ya nchi hiyo na china, mji mkuu wa visiwa hivyo taipei vilifurika waandamanaji kuanzia aprili 26 mpaka 30, mara hii wakipinga kiwanda cha nne cha uzalishaji wa nguvu za nyuklia kinachoendelea kujengwa ingawa inahofiwa kuwa kinaweza kusababisha madhara.

英語

not long after protesters took over taiwan's legislature over a controversial trade deal with china, the island's capital city taipei was rocked by more protesters from april 26 to april 30, this time against a fourth nuclear power plant currently under security check that they fear is a danger.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mara baada ya waandamanaji (ambao kwa namna moja au nyingine walijipatia silaha) walipoanza kuvamia makazi ya rais baada ya kuvishinda vikosi vya polisi, walinzi wa rais walianza kuwatupia risasi ili kujaribu kuwadhibiti.

英語

when protesters (who somehow acquired arms) started to storm the presidential palace after defeating police forces, the presidential guards started firing at them in an attempt to stop the attackers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kambi ya kwanza ya siku ya kuvamia kompyuta kwa ajili ya uwazi “siku mbili za kuvamia kompyuta za siasa za brazil”, ilifunguliwa mwanzoni mwa mwezi oktoba mjini sao paulo, na kambi ya mwisho iliendeshwa wiki hii, mnamo disemba 1 na 2 katika mji mkuu wa brasilia .

英語

the first transparência hackday, “two days for hacking into brazilian politics”, was launched in são paulo at the beginning of october, and the last camp took place this week, on december 1st and 2nd, in the capital brasília .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,748,693,322 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK