検索ワード: kuwa na bei ndogo tofauti na wengine (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kuwa na bei ndogo tofauti na wengine

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

wengi wao wanafanya kazi na sisi kwa namna tofauti-tofauti na wengine hutuchambua vikali.

英語

many of them work with us in different ways and some are critical too.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kulingana na utafiti wa kidemografia kufikia sasa, covid-19 inaonekana kuwa na vipengele vya kiepidemiolojia tofauti na vya sars.

英語

according to demographic studies so far, covid-19 seems to have different epidemiological features from sars.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kugundua haraka na kutengwa kwa watu ambao wanakisiwa kuwa na maambukizi ni hatua muhimu katika kulinda wafanyakazi, wateja, wageni, na wengine katika sehemu ya kazi.

英語

prompt identification and isolation of potentially infectious individuals is a critical step in protecting workers, customers, visitors, and others at a worksite.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

endapo atachaguliwa, romney ameahidi kuwa na sera rafiki za mambo ya nje, tofauti na mwelekeo usiotabirika wa sera za obama wakati huu ambapo mabadiliko ya kisiasa yanaendelea kulikumba eneo la mashariki ya kati.

英語

if elected, romney pledged to take a more "engaged" foreign policy, as opposed to obama's wait-and-see approach as "profound upheaval" shook the region.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

maandamano hayo yaliyoongozwa na upinzani yanalenga kwenye bei kubwa za mafuta ambazo zimepelekea kuwa na bei kubwa za vyakula na rais museveni ametia kiburi kwamba hataingilia kati ili kupunguza bei hizo.

英語

the protests led by the opposition are aimed at high fuel prices which have led to high food prices and president museveni is defiant that he will not intervene to reduce prices.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

“sisi watu wa magharibi na vyoo vyetu vya kuvuta na karatasi za chooni na chemchemi zinazong’ara ni tofauti na wengine wengi; wengine wote waliobaki hufikiri kuwa bafu ni sehemu iliyolowana, inayonuka, ikiwa wanayo hayo mabafu.

英語

"we in the west with our flush toilets and toilet paper and sparkling shower stalls are the exception; the rest of the world thinks a bathroom is a wet, smelly place, when they have a bathroom at all.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hapajatokea mwingine tangu kennedy, na wengine wanasema hakuna rais mwingine wa marekani aliyewahi kuwa na mvuto pamoja na matumaini makubwa, kutoka duniani kote, kwenye mabega yake.

英語

not since kennedy, and some say not never, has an american president has had such attention with such high hopes, from around the world resting on his shoulders.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

uwongo kuhusu virusi imeenea mtandaoni, na kumekuwa na matukio ya ubaguzi wa watu kutoka nchi zingine na ubaguzi dhidi ya wachina, watu wengine kutoka maeneo ya mashariki na kusini-mashariki ya asia au kuwa na mwonekano huo, na wengine kutoka maeneo yaliyo na visa vingi ya virusi.

英語

misinformation about the virus has spread online, and there have been incidents of xenophobia and discrimination against chinese people, other people of east and southeast asian descent and appearance, and others from areas with significant virus cases.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kada wa chama cha united national party ajith p. perera ameandika salamu za rambirambi kwa prabhakaran katika blogu yake, akitaka kuwa tofauti na wengine: “alikuwa muuaji, bila ya shaka, lakini prabhakaran anastahili salamu za rambirambi, hata kama ni katika lugha ambayo alikuwa haielewi,”

英語

united national party organizer ajith p. perera wrote in his own obituary for prabhakaran in his blog, dare to be different: "he was a terrorist, no doubt, but prabhakaran deserves an obituary, even in a language he barely understood," perera wrote.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

tofauti na al-shabab 1.0, al-shabab mpya inaweza kuwa na wapinganaji wapi -hasa vijana, chini ya miaka 30, ambao wanayafahamu vyema mataifa ya magharibi na wanafahamu vyema lugha za kigeni, kuweza kusukuma mbele mapambano hayo kwa vizazi vijavyo.

英語

unlike al-shabab 1.0, the upgraded al-shabab is likely to have new recruiters — mostly youths, under 30, who have exposure to the west and are fluent in foreign languages, to appeal to coming generations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,749,153,252 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK