プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira yatakapotukia mambo haya.
but of the times and the seasons, brethren, ye have no need that i write unto you.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya kuwapenda ndugu zenu waumini. ninyi wenyewe mmefundishwa na mungu namna mnavyopaswa kupendana.
but as touching brotherly love ye need not that i write unto you: for ye yourselves are taught of god to love one another.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
ndugu wapenzi, wakati nimo katika jitihada ya kuwaandikieni juu ya ule wokovu tunaoshiriki sote, nimeona lazima ya kuwaandikieni na kuwahimizeni mwendelee kupigana kwa ajili ya imani ambayo mungu amewajalia watu wake mara moja tu kwa wakati wote.
beloved, when i gave all diligence to write unto you of the common salvation, it was needful for me to write unto you, and exhort you that ye should earnestly contend for the faith which was once delivered unto the saints.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質: