検索ワード: kwa mawasiliano zaidi my number is (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kwa mawasiliano zaidi my number is

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

who give you my number

英語

who give you my number

最終更新: 2023-09-19
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuanguka kwa muda mfupi kwa mawasiliano na usafiri kulifuata.

英語

temporary information and transportation collapse followed.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

the thing is i don't have access to my number now

英語

i don't have your number

最終更新: 2023-09-15
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati wote wa maandamano, kukatwa kwa mawasiliano, vitisho nk waliweza kujipiga moyo konde na kuendelea kuandika.

英語

throughout protests, blackouts, threats, they have managed to pull though and keep writing.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini ajali ilitokea mbali na maeneo ya mjini ambako, kama mashihidi walivyotaarifu, uwezo wa kupatikana kwa mawasiliano ya simu za mkononi ulikuwa mdogo.

英語

but the crash happened far from any metropolitan area where, as witnesses reported, the cell phone coverage was limited.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kutokana na sintofahamu iliyopo katika sheria hii mpya na kukosekana kwa mawasiliano mazuri miongoni mwa vyombo husika vya serikali katika kutekeleza sheria hii, malipo ya ada ya kufanya kazi isiyo ya mkataba wa kudumu pamoja na baadhi ya wafanyakazi walio na mwajiri zaidi ya mmoja walizuiwa katika tarehe za mwisho za mwezi januari.

英語

due to ambiguities in the new regulation and lack of coordination between government agencies in implementing the new law, payment of fees for part-time and freelance work for certain categories of workers were blocked in the last days of january.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama ilivyoelezwa katika taarifa hiyo, sababu kubwa ya kushindikana kutekelezwa kwa sheria hii mpya ni kukosekana kwa mawasiliano mazuri kati ya wizara ya kazi na sera ya kijamii, piom na pro, sheria inayowataka wafanyakazi walioajiriwa na mwajiri zaidi ya mmoja kutoa mchango wa pensheni pamoja na bima ya ulemavu.

英語

as stated in the notice, the reason for this is the lack of coordination of the ministry of labor and social policy, piom and pro regarding the new law, which provides freelancers to also pay pension and disability insurance.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

changanya mbinu zifaazo na dhibiti nambari ya programu na jukwaa tofauti: changanya vifaa au midia zinazopatikana kwa wanafunzi wengi, kwa mawasiliano sawa na mafunzo, na kwa mafunzo inayotofautiana.

英語

blend appropriate approaches and limit the number of applications and platforms: blend tools or media that are available for most students, both for synchronous communication and lessons, and for asynchronous learning.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanablogu mwanasheria springlaw aliandika katika makala yake inayoanza kwa sentensi ‘ninaandika hili nikiamini kuwa tukio kama hili halitatokea tena’ na kwamba ndoa hiyo ilikuwa batili tokea mwanzo na iliharibiwa zaidi na kutokuwepo kwa mawasiliano, pia ujinga na uchelewaji katika kuchukua hatua.

英語

a lawyer blogger springlaw commented in a posting that starts with a sentence ‘i am posting it, hoping such incident never happens again’ that the marriage was wrong from the start and it got ‘festered’ by the miscommunication, ignorance and late response.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa mujibu wa gawker, anonymous, kundi lenye muundo-huru la wanaharakati wenye utaalamu wa kuingilia mawasiliano binafsi ya mtandaoni pamoja na walinzi sungusungu, walishambulia tovuti za serikali, pamoja na ile ya rais, waziri mkuu, soko la hisa na wizara kadhaa, wakipinga kitendo cha tunisia kuingilia utumiaji wa mtandao maarufu wa kutoa taarifa za siri za serikali duniani uitwao wikileaks, kufuatia sakata la kuingiliwa kwa mawasiliano ya siri, na dhidi ya uingiliaji wa mitandao binafsi wenye ukandamizaji unaofanywa na nchi hiyo.

英語

according to gawker, anonymous, the loosely-organised band of hacker activists and vigilantes, attacked the government sites, including that of the president, prime minister, the stock exchange and several ministries, in protest against tunisia's censorship of access to whistle-blower site wikileaks, following the cablegate affair, and for the country's repressive censorship.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
8,029,768,930 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK