検索ワード: machar (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

machar

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

jambo moja li wazi: mgogoro huu hautatatuliwa ila kwa upatanishi wa kupangwa kati ya rais kiir na riek machar.

英語

one thing is clear: there is no end to this crisis other than some kind of mediated compromise between president kiir and riek machar.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

rais kiir ni mdinka (kabila kubwa zaidi nchini sudan kusini) na machar ni mnuer.

英語

president kiir comes from the majority dinka people and machar from the nuer.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

riek machar amepinga madai hayo, akisema kwamba mapambano yalikuwa matokeo ya mgogoro kati ya wanakundi wa kikosi cha kumlinda rais.

英語

riek machar has refuted the allegations, saying that the fighting was a result of a conflict between members of the presidential guard.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

machar alikuwa makamu wa rais wa kwanza wa nchi hii ya kiafrika kabla hajafutwa kazi na kiir mwezi wa julai, mwaka wa 2013.

英語

machar was the african country's first vice-president before president kiir fired him july 2013.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

aliyekuwa makamu wa rais wa sudan kusini riek machar anatuhumiwa kwa mipango ya kuipindua serikali.picha kwa matumizi ya umma – voice of america

英語

south sudan's former vice-president riek machar is accused of plotting to overthrow the government.public domain image – voice of america

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

riek machar atarudi mjini juba kama makamu wa rais wa kwanza nchini sudan kusini; yawezekana kwamba kutakuwa na kishazi kitakachozuia kufutwa kwake kazi na kiir.

英語

riek machar will come back to juba as the 1st vice president of south sudan, and possibly with a clause making him unfirable by kiir.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

salva kiir, rais wa sudan kusini, nchi mpya zaidi duniani, alisema kuwa desemba 16, mwaka 2013 jaribio la mapinduzi lililoanzishwa na wanajeshi wafuasi wa makamu wa rais wa zamani, riek machar, limekomeshwa.

英語

salva kiir, the president of south sudan, the world's newest nation, said on december 16, 2013 that an attempted coup by soldiers loyal to former vice-president riek machar had been put down.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inasemekana kuwa mafyatuliano hatari ya risasi miongoni mwa walinzi wa rais ni vita kati ya wadinka (kabila ya rais kiir) na wanuer (kabila ya dk. riek machar), makamu wa rais wa kale wa sudan kusini.

英語

deadly shoot-outs among the presidential guards in juba is being portrayed as a war pitting the dinka (among whom president kiir is from) against the nuer, the tribe of dr. riek machar, south sudan former vice president.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
8,037,332,545 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK