検索ワード: magenge (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

magenge

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

hisia mbaya dhidi ya jiji hili zinahusishwa na magenge ya kihalifu.

英語

that ghost town feel has a lot to do with the city's gangs.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

siyo tu magenge haya yanatawala mitaa, hata na uchoraji wa kuta pia umechukua nafasi katika mitaani.

英語

not only did gangs dominate the streets, but the graffiti scene as well.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tarehe 17 oktoba, mapambano kati ya magenge yanayotokea vilima vya morro sao joao na morro dos macacos yaliwatisha watu.

英語

clashes between gangs from the hills morro são joão and morro dos macacos on october 17th frightened the population.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwenye habari, niliona india wakinguruma katika maandamano wakipinga ubakaji katika magenge katika gari la abiria la delhi.

英語

in the news, i saw india roaring in protest against the gang-rape in a delhi bus.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"inaonekana kuwa watu wa san pedro sula, wanatambua kuwa uwepo wa magenge ya wahalifu ni tatizo lililo dhahiri, wanatambua pia hawawezi kuishi maisha ya hofu vile vile.

英語

"it seems like people in san pedro sula, while they recognize that the problem is very real with the gangs in the city, they also recognize that they can't spend their lives in fear.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

mgogoro wa sasa unasemekana kuwa ulianza katika tukio la kisasi kilichotokana na uharibifu uliotokea mwezi januari – kumekuwa na ripoti za watoto na wazee kuwindwa na magenge ya watu wanaohaha wenye bunduki na mapanga.

英語

the current conflict is said to have started in reprisal for the destruction that occurred in january — there have been reports of children and the elderly being particularly targeted by roving gangs armed with guns and machetes.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

washiriki walitoka katika matabaka tofauti ya kijamii, kuanzia wanafunzi wa vyuo hadi vijana wa magenge na wasiokuwa na elimu, na pia waliotokea katika makabila tofauti, marika tofauti na waliotoka katika taasisi mbalimbali.

英語

participants came from various socioeconomic backgrounds, ranging from university students to illiterate gang members, and were of different ethnicities, ages, and institutional affiliations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

soma makala ya kwanza iliyochapishwa kwa kiingereza na connectas kwenye mtandao wetu wa global voices, "namna magenge ya wahuni yalivyogeuka kirusi kwenye vyombo vya kiusalama nchini el salvador" sehemu ya pili itachapishwa muda mfupi ujao.

英語

read the first article published in english by connectas on global voices, "how gangs have become a trojan horse in el salvador's security forces" the second part will be posted shortly.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

mamia ya askari wa jimbo walipelekwa katika juhudi za kudhibiti magenge hayo yanayoshindana lakini haikusaidia: ugomvi kati ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya na polisi yalipelekea kutunguliwa kwa helikopta ya polisi na vifo vya polisi watatu, na kuchukua maisha ya zaidi ya watu 30 wengine, miongoni mwao wakiwemo watu wanaotuhumiwa kuwa wanachama wa magenge na wapiti njia.

英語

hundreds of state police deployed in an effort to subdue rival gangs did not help: the conflict between drug dealers and police resulted in a downed police helicopter killing three police officers, and claimed the lives of over 30 other people, among them suspected gang members and bystanders.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,774,881,771 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK