プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
majira ya mwaka
seasons of the year
最終更新: 2017-01-18
使用頻度: 1
品質:
参照:
baada ya kumtuma kwako artema au tukiko, fanya bidii kuja nikopoli unione, maana nimeamua kukaa huko wakati wa majira ya baridi.
when i shall send artemas unto thee, or tychicus, be diligent to come unto me to nicopolis: for i have determined there to winter.
amewahi kuandaa matukio mbalimbali likiwemo lile la barcamp transparency huko uingereza majira ya joto yaliyopita kule oxford, ambapo ana matumaini kwamba jambo hilo litafanywa katika nchi mbalimbali za ulaya msimu wa joto wa mwaka huu.
she has organized numerous events including barcamp transparency uk last summer in oxford, which she hopes will be replicated in other european countries this year.
hisia zangu mara zote zilikuwa zikinielekeza kwamba mapinduzi haya yangefanyika majira ya kiangazi (sijawahi kuandika bayana juu ya hili, lakini nimelielezea hili katika majadiliano na sikutaka kuchangia lolote kuhusiana na sakata hili.
talking to informed mauritanians, some of them saw the coup coming during the summer (as it did), in the autumn, or not at all.
coker, ambaye ni mtaalamu wa sayansi ya kompyuta, alikuwa na mipango ya kurejea nchini mwake mara baada ya kumaliza mafunzo yake ya ujasiriamali wa uhandisi wa vitumizi vya kompyuta, uliokuwa unafanyikia eneo la san francisco bay katika kipindi cha majira haya ya joto.
a computer science major, coker had plans to return to his home country after a software engineering internship in the san francisco bay area this summer.