検索ワード: matunda yasiyo na mbegu (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

matunda yasiyo na mbegu

英語

fruit without seeds

最終更新: 2023-12-09
使用頻度: 2
品質:

スワヒリ語

matunda matano yasiyo na mbegu

英語

there are five fruits

最終更新: 2023-07-01
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

matunda matano yasio na mbegu

英語

matunda matano yasio na mbegu

最終更新: 2024-02-02
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakuna marefu yasiyo na ncha

英語

there are no troubles that dont come to an end

最終更新: 2021-01-12
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kutokana na mbegu ya uzazi inapo miminwa.

英語

from a drop of semen when emitted;

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana.

英語

from which some having swerved have turned aside unto vain jangling;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

anabainisha kwamba watumiaji wanaotoa malalamiko yasiyo na maana hawaadhibiwi:

英語

she also notes that users who file unreasonable complaints face no penalties:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

loomnie pia aliyaonyesha maswali yasiyo na majibu kwa mustakabali (wa nchi hiyo):

英語

loomnie also highlighted unanswered questions for the future:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hakika sisi tumemuumba mtu kutokana na mbegu ya uhai iliyo changanyika, tumfanyie mtihani.

英語

we created the human being from the union of sperm and egg to test him.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nawatakia neema ya mungu wote wanaompenda bwana wetu yesu kristo kwa mapendo yasiyo na mwisho.

英語

grace be with all them that love our lord jesus christ in sincerity. amen.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mpango wa ges huwezesha kupatikana kwa mbolea na mbegu kwa wakulima moja kwa moja kwa kutumia simu za mkono za wakulima.

英語

the ges scheme delivers inputs (fertilizers and seeds) to farmers directly by using farmers' cell phones.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hapo mwanzo aliwahi kusema kuwa nyaraka zilizoonyesha msimamo wa umoja wa mataifa dhidi ya mpango wa nyuklia wa irani kama makaratasi yasiyo na maana.

英語

previously he has also called united nations resolutions against an iranian nuclear program just useless torn papers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hakika sisi tumemuumba mtu kutokana na mbegu ya uhai iliyo changanyika, tumfanyie mtihani. kwa hivyo tukamfanya mwenye kusikia, mwenye kuona.

英語

indeed we created man from the drop of a mixed fluid so that we may put him to test, so we endowed with hearing and sight.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

husema maneno ya majivuno na yasiyo na maana, na kutumia tamaa zao mbaya za kimwili kuwatega wale ambao wamejitenga hivi karibuni na watu waishio katika udanganyifu.

英語

for when they speak great swelling words of vanity, they allure through the lusts of the flesh, through much wantonness, those that were clean escaped from them who live in error.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

masoko makuu, malango pamoja na kanisa kuu hufafana kabisa na yale yaliyopo kwenye miji mingine ya mexico na ambayo huleta hamasa ya utulivu na matembezi ya raha yasiyo na bugudha.

英語

the main plaza, the portales, and the main church are as typical as in many other mexican towns inviting serene strolls.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa hivyo, kukuza muundo unaotegemea uzoefu wa kimatibabu kwa ajili ya ugonjwa ni muhimu kwa mashirika ya tiba ya afya kuzipa kipaumbele huduma zao, hasa katika maeneo yasiyo na rasilimali za kutosha.

英語

therefore, building a prognosis model for the disease is essential for health-care agencies to prioritize their services, especially in resource-constrained areas.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

imegunduliwa pia kuwa watu, baada ya kukumbuka au kutafakari matendo yasiyo na maadili, huonekana kuosha mikono zaidi kuliko wengine, na huonekana kuthamini vifaa vya kuosha mikono zaidi.

英語

it has also been found that people, after having recalled or contemplated unethical acts, tend to wash hands more often than others, and tend to value hand washing equipment more.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hukumu hiyo imehoji kwa nini wamiliki/watengenezaji/waendeshaji wa tovuti/kurasa hizo wasipelekwe mbele ya sheria kwa kupandisha mtandaoni maudhuri yasiyo na nidhamu ya kimaadili.

英語

the ruling has also demanded why hosts/creators/administrators of the website/pages should not be be brought to justice for uploading indecent materials.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika barua ya wazi aliyoandikiwa waziri mkuu, malgache kolo roger, asasi ya lcdmf ilisisitiza umuhimu wa kukabiliana na tatizo hili na hususani katika maeneo yaliyosahaulika na yasiyo na mifumo ya kisasa ya utoaji wa huduma ya afya:

英語

in an open letter to prime minister malgache kolo roger, lcdmf stressed the importance of treating this problem, especially in isolated regions without modern health facilities:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sifa za picha za radiolojia na picha za kimatibabu vya kompyuta (ct) ya watu ambao wameambukizwa ni pamoja na sehemu ya mapafu yenye shinikizo duni yasiyo na uwiano na kukosekana kwa mkusanyiko wa majimaji kati ya ukuta wa kifua na mapafu.

英語

characteristic imaging features on radiographs and computed tomography (ct) of people who are symptomatic include asymmetric peripheral ground glass opacities and absent pleural effusions.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,743,785,773 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK