検索ワード: mbwa wangu mzee ni wagonjwa (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

mbwa wangu mzee ni wagonjwa

英語

my old dog is sick

最終更新: 2022-01-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

haijulikani ikiwa moja kati ya hizi mbili husababisha faida sawa kwa watu ambao ni wagonjwa sana.

英語

whether either of these two leads to the same benefit for people who are critically ill is not known.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

je, kuna watu wengine ambao ni wagonjwa kama wewe walio nyumbani na dalili sawa na zako?

英語

are there other people sick as you at home with your same symptoms?

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watu wote ambao ni wagonjwa wanapaswa kukaa nyumbani, isipokuwa wakienda kutafuta matibabu, hawapaswi kuenda kazini na wanapaswa kukaa mbali ya watu wengine.

英語

all persons who are ill should stay home, except to get medical care; should not go to work; and should stay away from others.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, usambazaji wa sars-cov ulizingatiwa kufanyika wakati wagonjwa ni wagonjwa vibaya sana, ingawa usambazaji mwingi haukufanyika katika awamu ya mapema.

英語

however, the transmission of sars-cov was considered to occur when the patients are severely ill, while most transmission did not happen at the early phase.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

2) mfumo wa kutoa huduma ya afya itaipa kipaumbele huduma za kuwahudumia wale ambao ni wagonjwa zaidi na itaipa kipaumbele rasillimali, ikiwa ni pamoja na bidhaa za kujikinga, kwa watoa huduma wanaotoa huduma ya moja kwa moja kwao.

英語

2) the healthcare delivery system shall prioritize services to serving those who are the sickest and shall prioritize resources, including personal protective equipment, for the providers providing direct care to them.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hatua msingi za kuzuia maambukizi zilizopendekezwa kwa mandhari za kazi zote inajumuisha kuosha kwa mikono mara kwa mara na vizuri, kuhimiza wafanyakazi kubaki nyumbani ikiwa ni wagonjwa, adabu ya kupumua ikiwemo kufunika kikohozi na kupiga chafya, kutoa tishu na pipa za takataka, kujitayarisha kwa kufanya kazi kutoka nyumbani au kufanya kazi kwa zamu zilizolegezwa kama inahitajika, kuwashauri wafanyakazi kutotumia vifaa vya wengine, na kudumisha usafishaji wa uratibu na kusafisha kwa dawa ya mandhari ya kazi.

英語

basic infection prevention measures recommended for all workplaces include frequent and thorough hand washing, encouraging workers to stay home if they are sick, respiratory etiquette including covering coughs and sneezes, providing tissues and trash receptacles, preparing for telecommuting or staggered shifts if needed, discouraging workers from using others' tools and equipment, and maintaining routine cleaning and disinfecting of the work environment.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,785,511,135 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK