検索ワード: mikusanyiko (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mikusanyiko

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

mikusanyiko mingine midogo ilifanyika huko mecca, aljouf na hial.

英語

other small gathers were held in mecca, aljouf and hial.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

picha ya mikusanyiko hiyo zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii.

英語

the images of these gatherings have been shared widely on social networks.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadhi ya maeneo yanaruhusu makundi madogo; mengine yanakataza mikusanyiko yote ya makundi.

英語

some areas permit small groups; others prohibit all group gatherings.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mapigano makali kati ya polisi na waandamanaji katika viwanja vikuu vya mikusanyiko ya watu jijini humo yaliendelea mpaka usiku.

英語

fierce clashes between police and protesters around the main square continued through the night.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wavenezuela duniani kote wanaopinga serikali yao wameandaa mikusanyiko ya amani kupaza sauti zao na kuzifanya serikali za nchi wanazoishi kuelewa mwenendo wa mambo.

英語

venezuelans around the world who oppose their government have organized peaceful gatherings to make their voices heard and ensure local governments understand what their compatriots are living through.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hali ya mambo nchini venezuela yaendelea kuzorota, huku pakiwa na maandamano na mikusanyiko nchi nzima ayalisababisha vifo vya watu kumi na mamia kujeruhiwa mpaka sasa.

英語

the situation in venezuela continues to be extremely tense, with enormous marches and gatherings around the whole country that have left ten people killed and hundreds wounded.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ili adhima yake hiyo iungwe mkono na wananchi, museveni amekuwa akionekana hadharani akikabidhi bahasha za kaki zenye pesa kwa raia maskini awapo kwenye mikusanyiko ya watu.

英語

to gather public support for his intention to run again, museveni has been seen handing out brown envelopes of money to poor people during public gatherings, something he has also done in the past.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mikutano ya global voices ni mikusanyiko midogo ya mahali inayokusudiwa kusaidia kutengeneza mitandao na wasomaji wetu, waandishi au wafasiri watarajiwa, na wengine wanaonesha kuvutiwa na kazi zetu.

英語

global voices meetups are local and small gatherings designed to help facilitate meaningful connections with our readers, potential authors or translators, and others that have shown an active interest in our work.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama ilivyoonyeshwa kwenye ​picha ya 1,1, mikusanyiko ya nimonia ambayo chimbuko lake halikujulikana iliripotiwa mara ya kwanza kutoka wuhani tarehe 31 disemba 2019 kwa tume ya kitaifa ya afya nchini china.

英語

as shown in fig. ​fig.1,1, clusters of pneumonia that had unknown origins were first reported from wuhan on december 31, 2019 to the china national health commission.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

bbc iliweka ukurasa huu wa facebook kama jitihada zake za kukwepa mashambulizi kuhusu masuala ya utawala wa sheria na dhana ya uhuru kufuatia mapinduzi ya mwezi mei, ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa kwa mikusanyiko ya kisiasa na kukamatwa kwa mamia ya wanasiasa na wanaharakati wanaopinga mapinduzi ya kijeshi.

英語

the bbc set up this facebook page in an effort to avoid the systematic attack on the rule of law and liberties which followed may’s coup, including the banning of political gatherings and arresting and detaining hundreds of politicians and anti-coup activists.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maelfu ya wanafunzi hao wanalala, wanapika, wanafanya mijadala na sherehe kwenye kumbi za mikusanyiko kuandamana wakipinga kutolewa kwa ruzuku ndogo kwa mfumo wa elimu na kile kinachoitwa mchakato wa bologna, sera ya elimu ya umoja wa ulaya.

英語

thousands of them are sleeping, cooking, debating and partying in their auditoriums to protest against the under-financing of the educational system and the so-called bologna process, a european union education policy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kabogan alionya kuwa, watalii wanapaswa kuwa mbali na mikusanyiko mikubwa ya watu pamoja na kutokuwepo karibu na vituo vya polisi, pamoja na kuwa alitanabaisha kuwa, makundi ya waasi “hayawalengi watalii, bali maafisa wa usalama.”

英語

tourists should stay away from crowded areas and police stations, kabogan warned, though he said that terror groups are “not targeting tourists, but security officers.”

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,794,631,342 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK