検索ワード: miongo (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

miongo

英語

decade

最終更新: 2013-08-03
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

pap kimekuwa madarakani kwa miongo mitano.

英語

pap has been in power for five decades already.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

katika miongo iliyopita, virusi saba vya hcov vimetambuliwa.

英語

in the past decades, seven hcovs have been identified.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

baada ya miongo miwili, nchi itakuwa na matabaka yaliyo wazi.

英語

after 2 decades, the country will be highly classified.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

wakurdi wamekuwa wakipigania haki, amani na uhuru kwa miongo kadhaa.

英語

the kurds have been fighting for rights, peace and freedom for decades.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

utawala wa kiislamu wa iran umepuuza siku ya wanawake duniani kwa zaidi ya miongo mitatu.

英語

the iranian islamic regime has ignored international women's day for more than three decades.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

fatima anasema mtazamo hasi na wa jumla kwa waasia wa kusini utakoma katika miongo ijayo.

英語

fatima says the south asian stereotypes will be shattered in coming decades.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

hivyo, si kwa bahati kuwa virusi vitatu vipya vya hcovs vimeibuka katika kipindi cha miongo miwili iliyopita.

英語

thus, it is not by chance that three novel hcovs have emerged in the past two decades.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

kim jong il, dikteta aliyetawala ufalme wa korea kaskazini kwa miongo mitatu, amefariki akiwa na umri wa miaka 69.

英語

kim jong il, the north korean dictator who ruled the hermit kingdom for the past three decades, has died at the age of 69.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

kwa miongo kadhaa, utamaduni wa familia kuishi pamoja nchini india ulimaanisha kuwa vizazi kadhaa kuanzia babu mpaka wajukuu viliishi kwenye nyumba moja.

英語

for centuries, the joint family tradition in india meant that several generations from grandparents to grandchildren lived under the same roof.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

tofauti hiyo inasikitisha zaidi afrika kwa sababu kiwango cha umasikini kimeendelea kuwa juu kwa miongo mingi mfululizo, pamoja na kukua kwa wastani wa pato la taifa barani humu.

英語

the contrast is all the more striking in africa since the poverty level has been at a consistently high level for decades, despite the continent's significant average gdp growth.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

kutokana na harakati zake za kisiasa, serikali ya zamani ilimfunga jela kwa karibu miongo miwili, walimtesa, kumnyima matibabu na kumpokonya nyumbani kwake.

英語

due to his political activities, the former regime put him in jail for nearly two decades, tortured him, withheld medical treatment and confiscated his home.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

dokumentari hii inasaili safari ya ubunifu ya ama ata aidoo ya miongo saba kuanzia enzi za ghana inayotawaliwa na wakoloni, kupitia nyakati za uhuru, mpaka afrika ya leo ambako ubunifu wa vipaji vya wanawake hauonekani kiwepesi.

英語

this feature-length documentary charts ama ata aidoo's creative journey in a life that spans 7 decades from colonial ghana, through the tumultuous era of independence, to a more sober present day africa where nurturing women's creative talent remains as hard as ever.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

hata hivyo, enzi za utumwa na miongo mingine iliyofuata baada ya kukomeshwa kwa biashara hiyo ya watu nchini brazil mwaka 1888, ibada za candomblé zilipigwa marufuku na serikali na kanisa katoliki, na wafuasi wake waliadhibiwa vikali.

英語

however, during the period of slavery and for many decades following its abolition in brazil in 1888, candomblé practices were banned by the government and by the catholic church, and its practitioners were severely punished.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

makamanda wa jeshi wamemuondoa madarakani rais sidi ould cheikh abdallahi, rais wa kwanza kuchaguliwa katika uchaguzi huru katika miongo miwili, katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa jumatano iliyopita baada ya mtafaruku wa kisiasa uliotokana na rais huyo kuwatimua kazi majenerali wanne wa ngazi za juu wa jeshi.

英語

army commanders ousted mauritania's first freely elected president in two decades, president sidi ould cheikh abdallahi, in a military coup d'état wednesday after political feuding over the firing of the country's four top generals.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

kwa kweli, ufumbuzi unaelezwa katika ilani, ndiyo yale ambayo pap imekuwa ikiyafanya kwa miongo mingi iliyopita, kwa mfano, kuwapa mafunzo wafanyakazi wa kipato cha chini kutoka kazi moja ya kipato cha chini kwenda nyingine n.k.

英語

in fact, where solutions are cited in the manifesto, they are what the pap has been doing in the past decades e.g. retraining of low income workers from one low income job to another etc.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

familia za punjabi zinazoishi kwenye jimbo la balochistani kwa miongo mingi kwa sasa wamepachikwa majina ya vikundi vingine kama “walowezi” wasiohitajika, mamia wakiwa wameshauawa kwenye mashambulio na maelfu wakiwa wamelazimika kuyakimbia makazi yao kwa sababu ya ghasia.

英語

punjabi families who have lived in balochistan for decades are now branded by some groups as unwanted “settlers”, hundreds have been killed in attacks and thousands forced to flee the violence.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,799,611,974 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK