検索ワード: mipangilio ya akaunti na kuingia (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mipangilio ya akaunti na kuingia

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

mipangilio ya video

英語

video settings

最終更新: 2023-01-02
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nambari ya akaunti ya benki

英語

bank account number

最終更新: 2015-09-08
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

anwani ya barua pepe ya akaunti ya google:

英語

ruhusu kifaa hiki cha iphone kifikie barua pepe yako na data nyingine ya akaunti ya google

最終更新: 2021-05-21
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

picha kwa hisani ya akaunti ya apc flickr ya fernando lugo.

英語

photo by fernando lugo apc flickr account.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

basi waachilie mbali, uwape mawaidha na uwaambie maneno ya kuathiri na kuingia katika nafsi zao.

英語

(muhammad), ignore their faults, advise them, and tell them frankly about what is in their souls.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuinjilisha ni kosa kama ilivyo kwa mtu kuacha uislamu na kuingia katika dini nyingine.

英語

proselytizing is illegal, as is conversion away from islam.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@ibiriti: demokrasia haimaanishi tu ni mipangilio ya uchaguzi ili kubadili watu wasio na uwezo na kuwaweka wengine.

英語

@ibiriti: democracy is not just about regular elections replacing one incompetent lot with another. it has to deliver goods

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

taa za depot zinazima ifikapo usiku zinaweza sababisha mwizi kuruka na kuingia ndani pasipo kuonekana

英語

depot lights off by night

最終更新: 2023-05-11
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

2011 januari: chadema chaongoza maandamano jijini arusha na kuingia kwenye mgogoro na polisi.

英語

2011 january: chadema lead demonstration in arusha conflicts with police

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

orodha ya akaunti(muundu uwanja:akaunti) ambayo hatutapendekeza kuunda kindani.

英語

a list of accounts (in the form domain:account) which we will not propose to create locally.

最終更新: 2014-08-15
使用頻度: 3
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

madhara ya kulipuka kwa ugonjwa huu katika eneo la afrika magharibi tayari yanaonekana kwa kudorora kwa uchumi wa gambia ukiacha matatizo ya kiafya yanayoweza kujitokeza kama ugonjwa utaenea na kuingia gambia.

英語

the impact of the ebola outbreak in west africa already having dire economic consequences to the gambia not to mention the potential health implications if the disease were to spread into the gambia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hao ndio wale ambao mwenyezi mungu anayajua yaliyomo ndani ya nyoyo zao. basi waachilie mbali, uwape mawaidha na uwaambie maneno ya kuathiri na kuingia katika nafsi zao.

英語

but god knows all that is in their hearts; so ignore what they say, admonish them and speak to them in such terms as will address their minds.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sisi tunajua kwamba tumekwisha pita kutoka katika kifo na kuingia katika uzima kwa sababu tunawapenda ndugu zetu. mtu asiye na upendo hubaki katika kifo.

英語

we know that we have passed from death unto life, because we love the brethren. he that loveth not his brother abideth in death.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa hiyo, wanawake wajawazito au wanawake wenye watoto wenye umri wa chini ya miaka 3 huambiwa kuhusiana na kuingia kwenye magereza kuwa si vizuri kwa mtoto kukualia gerezani, na hupewa uchaguzi wa kumpeleka mtoto kwa wanafamilia wengine.

英語

thus, pregnant women or women with children under 3 are told upon entry to the prison that it isn't good for the child to grow up behind bars, and options are given for them to send the child off to family members.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika mapendekezo ya mageuzi, mitihani ya mwisho ili kupata diploma ya shule ya sekondari itafanyika katika duru moja badala ya mbili na kuingia katika shule ya sekondari zitafanyiwa mtihani wa mwisho badala ya kupita daraja mwishoni mwa mwaka wa mwisho wa katikati ya shule ya sekondari.

英語

in the proposed reform, the final exam to obtain the high school diploma will be done in one round instead of two and the entry into high school will be subjected to a final exam instead of a passing grade at the end of the final year of middle high school.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ndani ya wiki 2 za kwanza za kuweka mipangilio ya uchunguzi huu, tumetambua visa 3: 1 kupitia mfumo mpya wa kuweka msimbo, vingine 2 kupitia kuendelea kuchukuliwa kwa sampuli ya viarolojia.

英語

within the first 2 weeks of setup of this surveillance, we have identified 3 cases: 1 through the new coding system, the other 2 through the extended virology sampling.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

"kweli nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini yule aliyenituma, anao uzima wa milele. hatahukumiwa kamwe, bali amekwisha pita kutoka kifo na kuingia katika uzima.

英語

verily, verily, i say unto you, he that heareth my word, and believeth on him that sent me, hath everlasting life, and shall not come into condemnation; but is passed from death unto life.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kazi yetu ni rahisi sana. unahitaji tu kusajili akaunti na ukamilishe kazi ya nyumbani kama inavyotakiwa. unaweza kupata mshahara wa 3000~5000ksh kwa siku. ukisajili akaunti, unaweza kupata mshahara wa 600ksh.

英語

our work is very simple. you only need to register an account and complete the homework as required. you can get a salary of 3000~5000ksh a day. if you register an account, you can get a salary of 600ksh.

最終更新: 2023-12-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

huku kukiwa na matarajio ya mabadiliko katika serikali za marekani na israeli – pamoja na makundi ya upinzani yenye sauti na yaliyo mitandao ya ndani na ile inayovuka mipaka na kuingia gaza – inaonekana kuwa utawala unaozeeka wa mubarak unaanza kuingiwa na kihoro na kujikuta una machaguo machache ya kuendeleza mshiko wake madarakani isipokuwa kwa kutumia mikakati ya kuongeza hali ya vuguvugu.

英語

with the changes afoot in us and israeli administrations—along with increasingly vocal, powerful and interconnected resistance groups, domestically and across the border in gaza—it seems the aging mubarak regime is getting nervous and finds little option to maintain its grip on power but to resort to a strategy of tension.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

utayafumbua macho yao na kuwawezesha watoke gizani na kuingia katika mwanga; watoke katika utawala wa shetani, wamgeukie mungu; ili kwa kuamini, wapate kusamehewa dhambi na kuchukua nafasi yao kati ya wale ambao wamepata kuwa watu wa mungu.

英語

to open their eyes, and to turn them from darkness to light, and from the power of satan unto god, that they may receive forgiveness of sins, and inheritance among them which are sanctified by faith that is in me.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,781,362,531 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK