プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
katika shule ya uandishi wa habari jijini london mwaka 2002 nilikuwa na mwanafunzi mwenzangu aitwaye harun hassan ambaye nilizoea kumuuliza maswali mengi kuhusu maisha yake ya mogadishu na siasa za somalia.
in journalism school in london in 2002 i had a classmate named harun hassan who i used to ask a lot of questions about life in mogadishu and somali politics.
kwa masikitiko hata hivyo, sherehe yetu ilitekwa kwa mara nyingine na wapuuzi wasio na aibu waliolipua bomu katika soko ambalo mara zote hujaza watu sana liitwalo mogadishu cantonment abuja kwenye mkesha wa mwaka mpya.
sadly though, our celebration was hijacked once more by some faceless cowards who detonated a bomb in the usually crowded mammy market of the mogadishu cantonment (sani abacha barracks) abuja on new year eve.
katika hali inayoacha maswali, mwandishi wa kisomali harun hassan anatajwa kwa jina kwenye maelezo ya picha inayomwonyesha mlinzi wa barabarani mjini mogadishu, lakini kwa kiwango ninachoona haionekani kwenye habari yenyewe.
curiously, somali journalist harun hassan is mentioned by name in a photo caption of a traffic guard in mogadishu, but as far as i can see nowhere in the text itself.
mwezi desemba mwaka 2008, wanafunzi 20 walishinda vigezo vikubwa na kufuzu kutoka chuo cha uganga huko mogadishu – kundi la kwanza kufanya hivyo katika takriban miongo miwili ndani ya nchi iliyoshindwa katika pembe ya afrika.
in december 2008, 20 somali students overcame huge odds and graduated from medical school in mogadishu—the first batch to do so for almost two decades in the failed horn of africa state.
kazi hii ni ya ufuatiliaji wa yaliyotekelezwa katika kikao cha waweka saini cha hivi karibuni kilichofanyikia mjini addis ababa ambapo mambo mengi ya kikatiba yalikubaliwa na baadhi ya mapendekezo -yaliyoandaliwa na tume huru ya katiba ya serikali ya shirikisho- yamerekebishwa baada ya makubaliano ya kisiasa ya amani baina ya waweka saini wa mpango huo wa amani wa kumaliza kipindi cha mpito, yaliyofanyika mogadishu mwezi wa 9 mwaka jana.
the working session is a follow up to the recent addis signatories’ meeting were most of the constitutional issues were agreed and some of the provisions – prepared by the independent federal constitution commission – have been amended after congenial political negotiations between the signatories of the roadmap to end the transition, which was adopted in mogadishu last september.