検索ワード: mstaafu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mstaafu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

waziri mkuu mstaafu wa tanzania na mgombea urais kwa tiketi ya muungano wa vyama upinzani, edward lowassa.

英語

former tanzanian prime minister and main opposition presidential candidate edward lowassa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, inaonekana kuwa kuwa jemadari mkuu siyo kigezo cha muhimu katika jeshi la misri na hata hivyo meja jenerali huyu mstaafu alikuwa na vigezo vyote vya kumfanya kuwa jemadari mkuu .

英語

however, it seems that this is not a prerequisite in the egyptian army and that the former general had all the necessary qualifications to become a field marshal.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kadiri siku za kupiga kura zilivyokaribia, kura za maoni zimeonesha ongezeko la wananchi waliokosa imani na sserikali ya rais goodluck jonathan na hivyo mwanajeshi mstaafu muhamudu buhari ameonekana kuwa anaweza kushinda kwenye uchaguzi huo.

英語

as the election has come closer, opinion polls have shown growing dissatisfaction with jonathan’s government and buhari has emerged as a possible winner of the election.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mgombea urais wa upinzani, jenerali (mstaafu) muhammadu buhari akiongea kwenye kongamano la raia wa afrika wanaoishi ughaibuni lililofanyika katika jiji la london.

英語

the main opposition candidate general (rtd) muhammadu buhari speaking at african diaspora conference in london.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

uchaguzi mkuu wa octoba 25 nchini tanzania utakuwa na ushindani mkali kuliko uchaguzi mwingine wowote uliowahi kufanyika katika historia ya nchi hiyo baada ya waziri mkuu mstaafu na mwenye umaarufu mkubwa, edward lowassa kuachana na chama tawala na kujiunga na umoja wa vyama vya upinzani.

英語

tanzania's october 25 general election will be the most tightly contested election in the country's history after hugely popular former prime minister, edward lowassa, defected from the ruling party to join the main opposition bloc.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kiran bedi (@thekiranbedi), ambaye ni askari mstaafu kutoka delhi, ambaye anajulikana kwa utendaji kazi uliotukuka na mmoja wa wapinga rushwa nchini india, alitwiti:

英語

kiran bedi (@thekiranbedi), a former police officer from delhi who is recognized for her philanthropic activities and anti-corruption crusade in india, tweeted:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jaji mkuu mstaafu, waziri wa zamani wa wizara ya miundo mbinu, hivi sasa akifahamika kama mmiliki wa vibilioni vichache , bw andrew chenge alinaswa na kamera za bunge( cctv) siku chache zilizopita muda wa usiku katika ukumbi wa bunge akifanya jambo lililotiliwa mashaka makubwa.

英語

what hon. joseph mbilinyi has done gives a really negative image of chadema and tanzanians as a whole. over on the blogosphere, a video clip from the television channel itv made the rounds, immortalizing the incident for eternity. via gongamx:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,740,595,275 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK