検索ワード: mtazamo wa grafu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

mtazamo wa grafu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

inahusisha picha ndogo ya mtazamo wa mji.

英語

it involves a sliver of a view of a city.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kutokea kwenye mtazamo wa maisha ya mhusika.

英語

from the point of view of one fictitious life.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

brazil: mtazamo wa wakazi wa vitongoji maskini

英語

brazil: a view from slum dwellers on rio's drugs war · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wanablogu kadhaa waligusia mtazamo wa kisheria kwa suala hili.

英語

a number of bloggers touched on the legal aspects of the case.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

uchaguzi na ukomo wa awamu ya uongozi ndio mtazamo wa wengi.

英語

election reform and terms limit reflect the views of many.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mtazamo wa smith ulichunguzwa na tovuti ya andrew landeryou vexnews:

英語

smith’s views were probed at andrew landeryou’s online site vexnews:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

china: kashfa ya wizi wa kitaaluma uliofanywa na wang hui, mtazamo wa kimataifa

英語

china: wang hui's plagiarism scandal, international turn · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na utawaona wanapelekwa kwenye moto, nao wamenyenyekea kwa unyonge, wanatazama kwa mtazamo wa kificho.

英語

and thou wilt behold them set up before it, downcast with ingominy ond looking with stealthy glance.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

reclaimnajia.net tayari imefanikiwa kutafsiri upya mabadiliko ya mtazamo wa uangalizi wa uchaguzi nchini naijeria.

英語

reclaimnaija.net has already succeeded in redefining the paradigm of election monitoring in nigeria. this post is part of our special coverage nigeria elections 2011.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa hiyo, sio tu kifo cha mama yangu kilichonivunja moyo, lakini pia na mtazamo wa watu nilioishi nao toka utotoni.

英語

so it’s not only the loss of my mom that broke my heart, it’s also the attitude of the people that i was growing up with.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa mtazamo wa wapiga kura wengi, josipović alipokuwa rais, hakuweza kutimiza mambo mengi waliyoyataka watu wa crotia.

英語

in the eyes of many voters, josipović hasn't done much for croatians during his mandate as president.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kutokea kwenye mtazamo wa kisiasa, bara la ulaya lipo mbali na kufungua mipaka, na pengine ni tofauti ya hivyo.

英語

from a political point of view, europe is far from opening the borders, rather the contrary.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

dhima ya mkutano wa 2015 ni "mtandao huru wa intaneti: mtazamo wa kimahali, haki za kidunia ."

英語

the theme of our 2015 summit is "the open internet: local perspectives, global rights."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

miradi ya ujanja ujanja kama hii itaimarisha mtazamo wa uliosambaa duniani kote kuwa wa-nigeria ni vichekesho tufundoshao kipofu lugha ya ishara.

英語

such white elephant projects will only reinforce the perception of nigeria as a laughing stock of the rest of the world where we like to teach the blind sign language.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na inapo teremshwa sura madhubuti na ikatajwa ndani yake khabari ya vita, utawaona wenye maradhi katika nyoyo zao wanakutazama mtazamo wa anaye zimia kwa mauti.

英語

but when a categorical surah is revealed that mentions war, you should see those who are sceptical staring at you like a man in the swoon of death.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

from the old, ameandika maelezo mengi juu ya kesi hii kwenye blogu yake, amelizungumzia tena hili katika mtazamo wa awb anakubaliana na mtazamo ulioonyeshwa kwenye facebook:

英語

from the old, covering many aspects of the case on his blog, says this yet again from the awb's perspective agreeing with a perspective revealed on facebook:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwenye mazungumzo ya gv juma hilo, tunazungumza na marafiki waishio serbia akiwemo mhariri wetu wa ulaya ya kati na mashariki radisic ili kuelewa hali ya mambo kwa mtazamo wa wenyeji kuhusu habari hizo.

英語

on gv face this week, we talk to friends in serbia, including our central and eastern europe editor danica radisic to get a local perspective on the news.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

adhabu ya kifo inahitaji maoni ya mufti mkuu ili kuiunga mkono kutokana na mtazamo wa kidini, mtazamo wa sharia ili kuitimiza hukumu. siyo kila siku watu hutoa adhabu ya kifo kwa yeyote.

英語

the death penalty needs the opinion of the grand mufti to support it from the religious point of view ,the sharia point of view to fulfill justice.it is not everyday that you order the death of someone.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

akaunti hii ilianzishwa mapema mwezi mei mwaka huu, ina takribani marafiki 2,000 na inamtambulisha yeye kama muislamu kwa asilimia 100 mwenye mtazamo wa siasa za kihafidhina, aneyependelea wanawake na ameoa.

英語

his facebook page, created early in may this year, has about 2,000 friends and identifies him as a 100% muslim with conservative political views, interested in women and married.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

@ernestrwamucyo: mtazamo huu wa tawala za kimagharibi na “ mtazamo wa kujifanya kujua kila kitu” kuhusu afrika na viongozi wa afrika si mzuri.

英語

@ernestrwamucyo: this paternalism and 'know it all attitude' on africa and african leaders is not good.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,776,517,309 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK