検索ワード: nataka kufua na kwenda kukununulia laptop (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

nataka kufua na kwenda kukununulia laptop

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

doria inaendelea kuja na kwenda katika lango kuu la chuo kikuu.

英語

patrols keep coming and going to the university main entrance.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

akiendelea na kwenda kwenye hali ilivyo huko gaza, zeinobia anablogu:

英語

moving on to the situation in nearby gaza, zeinobia blogs:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

basi, akawaacha, akatoka nje ya mji na kwenda bethania, akalala huko.

英語

and he left them, and went out of the city into bethany; and he lodged there.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ndugu wa kike alikuwa amefariki, walikusanya fedha zote walizokuwa nazo na kwenda kumzika.

英語

a female relative had died, they gathered all the money they had and set off to bury her.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini ukweli ni kwamba dunia yetu siyo ileile endapo utaondoka na kwenda mahali pengine.

英語

but the truth is that our earth isn't the same when you move from one place to the other.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

dema ameupenda ulimwengu huu akaniacha na kwenda zake thesalonike. kreske amekwenda galatia, na tito amekwenda dalmatia.

英語

for demas hath forsaken me, having loved this present world, and is departed unto thessalonica; crescens to galatia, titus unto dalmatia.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

basi, wakamkamata, wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa kuhani mkuu. petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali.

英語

then took they him, and led him, and brought him into the high priest's house. and peter followed afar off.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini, kama wanaijeria wengi vijana, ifeozo alibadili mawazo yake na kwenda kwenda kupiga kura katika msimu huu wa uchaguzi.

英語

but, like many young nigerians, ifeozo changed his mind and headed to the polls this election season:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

“mawazo makali kama watu washughulikao, huja na kwenda hututembelea na kupotea, yakiacha mlango umefunguliwa kidogo.”

英語

“intense thoughts like active beings, come and go haunt us then flee, leaving ajar the door.”

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

walimchukua mwanablogu huyu kutoka rumande na kwenda kumuulia gerezani, na halafu rais huwa anahudhuria mkutano wa dunia wa demokrasia nchini indonesia na kukosoa demokrasia ya magharibi.

英語

they took a blogger in custody and killed him in prison, and then the president goes to the world summit for democracy in indonesia, criticizing western democracy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika moja ya tovuti za uandishi wa kiraia suala la kumtunuku ukazi wa kudumu kocha ambaye wakati fulani aliitosa zambia na kwenda zake angola, kunaonekana kuwa na mrengo wa kisiasa zaidi.

英語

on one citizen media website the issue of granting permanent residency to a coach who once deserted zambia for neighbouring angola, has assumed political overtones.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

yule askari wa gereza alimpasha habari paulo: "mahakimu wametuma ujumbe ili mfunguliwe. sasa mnaweza kutoka na kwenda zenu kwa amani."

英語

and the keeper of the prison told this saying to paul, the magistrates have sent to let you go: now therefore depart, and go in peace.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

mnamo tarehe 8 aprili, kulikuwa na taarifa kwamba alikuwa amekimbilia huko osh (kusini mwa nchi), na kwenda katika kijiji alikozaliwa karibu na jalalabad.

英語

on april 8, there was information that he landed in osh (south of the country), and moved to his native village near jalalabad.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadhi ya watu walilalama kuwa, hawawezi kupata muda wa kutosha kutoka kazini na kwenda kuwatembelea wazazi wao hata kama wangekuwa tayari kufanya hivyo, wakati wengine wanafikiri kuwa, sheria hiyo ilianzishwa kwa lengo la kuimarisha hali mbaya iliyopo ya mfumo wa posho ya uzeeni nchini china.

英語

some complained that they can't get enough time off from work to visit their parents even if they wanted to, while others thought that the law was introduced to make up for china's brewing pension issue.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

“kila siku ambayo ninapitia habari ninazidi kushawishika kuwa ninataka kuachana na klabu ya ‘mimi ni mtrini’ na kwenda sehemu nyingine”: coffeewallah ameshachoka na kila kitu kuanzia uhalifu mpaka kodi.

英語

"every day that i go through the news i become more convinced that i want to quit the 'i am a trini' club and head off to somewhere else": coffeewallah has had it with everything from crime to taxes.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

baadaye, basi la shule lilikwenda kwenye ziwa dogo kuona viboko. lakini basi lilikwama kwenye matope! hatukuweza kusonga mbele na hatukuweza kushuka kwenye basi! "bila shaka! hippos inaweza kuwa mifugo, lakini bado ni wanyama pori na hatari." momo aliongezea. kwa hivyo ni dereva tu aliyeshuka kwenye basi na kwenda kupata msaada. alipokuwa anachelewa kurudi, momo na lolotte, walimu na wanafunzi wa darasa la nne walianza kuwa na wasiwasi

英語

afterwards, the school bus went to a small lake to see some hippos. but the bus got stuck in the mud! we couldn't move forward and we couldn't get off the bus! "of course! hippos may be herbivores, but they are still wild and dangerous animals." momo added. so only the driver got out of the bus to go get help. as he was slow to return, momo and lolotte, the teachers and the fourth grade students started to worry.

最終更新: 2022-04-10
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,779,812,059 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK