人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。
プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
mama watoto wangu
i want you to be a mother to my children
最終更新: 2024-01-23
使用頻度: 2
品質:
nataka uwe mke wangu
you are the most amazing woman ever
最終更新: 2021-03-17
使用頻度: 1
品質:
参照:
nataka uwe mchumba wangu
i want you to be my fiancé
最終更新: 2021-11-10
使用頻度: 1
品質:
参照:
mama watoto
mother children
最終更新: 2020-06-19
使用頻度: 1
品質:
参照:
msalimie mama watoto wako
msalimie mama yako
最終更新: 2021-11-20
使用頻度: 1
品質:
参照:
baba watoto wangu ndie alie nitoa bikira
my father's children as well.
最終更新: 2023-07-13
使用頻度: 1
品質:
参照:
naomba uokoe maisha ya watoto wangu na nitashukuru na kufurahi kama ombi langu litafanikiwa.
i must save the lives of my children and i will be grateful and happy if my request will succeed.
最終更新: 2018-01-09
使用頻度: 1
品質:
参照:
anasema "mimi na watoto wangu huuhuisha (kuweka habari mpya) ukurasa huu."
he says "my children and i update this page."
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
nataka watoto wangu na watoto wa watu wote ninaofanya kazi nao kama kiongozi wa tenaganita kufurahia na kuishi katika jamii iliyo na amani, ambapo hatuogopi misukosuko inayosababishwa na dola.
i want my children and the children of all the people i work with as head of tenaganita to enjoy and live in a society that is peaceful, where we do not fear state violence.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
wakati watu wakisali sala ya mapambazuko, polisi walishafika mlangoni kwangu wakinitaka niwatoe watoto wangu vinginevyo wangeharibu gari letu.
people are performing dawn prayers while police are at my door demanding i hand in my sons or they will crash our car.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
mimi nitakuwa baba yenu, nanyi mtakuwa watoto wangu, waume kwa wake, asema bwana mwenye uwezo."
and will be a father unto you, and ye shall be my sons and daughters, saith the lord almighty.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
参照:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
basi, watoto wangu, msikubali kupotoshwa na mtu yeyote. mtu atendaye matendo maadilifu ni mwadilifu kama vile kristo alivyo mwadilifu kabisa.
little children, let no man deceive you: he that doeth righteousness is righteous, even as he is righteous.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
参照:
watoto wangu, kama vile mama mja mzito anavyotaabika wakati wa kujifungua, mimi nataabika tena kwa ajili yenu mpaka hapo hali yake kristo itakapoundwa ndani yenu.
my little children, of whom i travail in birth again until christ be formed in you,
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
参照:
madhumuni ya mkopo ni kuhusu watoto wangu wa kike, nina watoto mapacha wanaumwa homa ya ini na nahitaji mkopo ili waende hospitali ya bugando iliopo mkoa wa mwanza kwa ajili ya vipimo na dawa
the purpose of the loan is about my girlfriends, i have twin babies suffering from liver fever and i need a loan to go to the existing bugando hospital for the primary region for tests and medications
最終更新: 2018-01-09
使用頻度: 2
品質:
参照:
naye, akiwa ndani angemjibu: usinisumbue! nimekwisha funga mlango. mimi na watoto wangu tumelala; siwezi kuamka nikupe!
and he from within shall answer and say, trouble me not: the door is now shut, and my children are with me in bed; i cannot rise and give thee.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
参照:
nimepata mdhamini wa kuwapeleka watoto wangu hospitali na zile pesa ulizonipa za mkopo bado sijazitumia ninazo zote na siwezi kuzitumia kwa kitu kingine shida yangu ilikua ni kuwapeleka watoto kutibiwa ila naomba nizirudishe hizo pesa kwako na tashukuru kama utakubali naomba unisamehe kama takua nimekosea
i've had the guarantor to take my children to the hospital and the money you gave me the loan i have not already spent with them and i can not use them for something else my problem grew up to send the kids to you except i ask you to return the money to me and thank you if you agree and apologize if i'm wrong
最終更新: 2018-01-14
使用頻度: 1
品質:
参照:
saa 5:11 alfajiri (saa za saudia), al joresh alituma twiti: hamjambo? polisi wamenitia mbaroni mimi na watoto wangu.
at 5:11 am (saudi time), al joresh tweeted : greetings, the police arrested me and my children.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
watoto wangu, ninawaandikieni mambo haya, kusudi msitende dhambi. lakini, ikijatokea mtu akatenda dhambi, tunaye mmoja ambaye hutuombea kwa baba, ndiye yesu kristo aliye mwadilifu kabisa.
my little children, these things write i unto you, that ye sin not. and if any man sin, we have an advocate with the father, jesus christ the righteous:
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
参照:
atapokea mara mia zaidi wakati huu wa sasa nyumba, ndugu, dada, mama, watoto na mashamba pamoja na mateso; na katika wakati ujao atapokea uzima wa milele.
but he shall receive an hundredfold now in this time, houses, and brethren, and sisters, and mothers, and children, and lands, with persecutions; and in the world to come eternal life.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
参照:
kwangu, nisingependa jina la mwisho liishie, wala kuwachungulia kila baada ya majuma mawili, napaswa kuwepo, kuamua, na ninataka watoto wangu wawe na angalau kumbukumbu moja nzuri akilini mwao, kama mwanangu salsa anavyokumbuka harufu nzuri ya majani yanapokuwa yamekatwa siku za jumapili nyumbani.
as for me, i don't want a last name to last, nor a check every two weeks, my part has to be present, decisive and i want my child to have at least on only nice memory in their heart, as salsa and the scent of recently trimmed off grass on sundays at home.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照: