検索ワード: ndiyo, sisi sote hatujambo (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

ndiyo, sisi sote hatujambo

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

sisi sote

英語

us

最終更新: 2023-10-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sisi sote tuko hapa

英語

we are all here

最終更新: 2021-11-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sisi sote pamoja na wewe na ccio

英語

we're with you

最終更新: 2024-02-01
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sisi sote ni watu tunaoongea kirusi hapa, na haki zetu zinapuuzwa.

英語

we are all russian-speaking here, and our rights are being infringed upon.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

# sisi sote ni waandamanaji wa hazara katika lahore.

英語

#weareallhazara protests in lahore.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

basi, mungu alimfufua huyo yesu na sisi sote ni mashahidi wa tukio hilo.

英語

this jesus hath god raised up, whereof we all are witnesses.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuna mambo mengi ya kufanya kwetu sisi sote, sisi sote tutalenga miradi muhimu zaidi.

英語

there’s plenty to do for all of us, we just will all focus on the most essential projects.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sisi sote tuna matumaini kwamba atakuwa kiongozi aliyechaguliwa kwa haki na atakayeiletea nchi yetu maendeleo.

英語

we all hope that it is someone who is fairly elected and who will bring development to our country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

siku ya nelson mandela siyo siku ya mapumziko - ni siku ambayo sisi sote hatuna budi kuungana na kutenda.

英語

nelson mandela day is not a holiday – it is a day for all of us to all come together through action.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mungu hakumhurumia hata mwanae wa pekee, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote. ikiwa amefanya hivyo, je, hatatujalia pia mema yote?

英語

he that spared not his own son, but delivered him up for us all, how shall he not with him also freely give us all things?

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa nini, basi wewe wamhukumu ndugu yako? nawe, kwa nini wamdharau ndugu yako? sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha mungu.

英語

but why dost thou judge thy brother? or why dost thou set at nought thy brother? for we shall all stand before the judgment seat of christ.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

yahusu sasa vyakula vilivyotambikiwa sanamu: tunajua kwamba sisi sote tuna ujuzi, lakini ujuzi huo huwafanya watu wawe na majivuno; lakini mapendo hujenga.

英語

now as touching things offered unto idols, we know that we all have knowledge. knowledge puffeth up, but charity edifieth.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

basi, sisi sote ambao nyuso zetu hazikufunikwa, twaonyesha kama katika kioo, utukufu wa bwana; tunabadilishwa tufanane zaidi na huo mfano wake kwa utukufu mwingi zaidi. hiyo ni kazi yake roho wa bwana.

英語

but we all, with open face beholding as in a glass the glory of the lord, are changed into the same image from glory to glory, even as by the spirit of the lord.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na hata sisi sote tulikuwa kama wao; tuliishi kufuatana na tamaa zetu za kidunia na kufanya tu mambo yale yaliyoipendeza miili na akili zetu. kidunia, sisi kama vile pia wao, tulistahili ghadhabu ya mungu.

英語

among whom also we all had our conversation in times past in the lusts of our flesh, fulfilling the desires of the flesh and of the mind; and were by nature the children of wrath, even as others.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika familia yetu tuko wanne mama yangu anaitwa priya na baba yangu anaitwa bhavin pia nina kaka mdogo anaitwa rishaan ndiye mdogo na mbaya kuliko sisi sote baba yangu ndiye mkubwa na mwenye nguvu zaidi lakini mama yangu anafanya kazi kila siku. mama yangu anafanya kazi kwa bima ya apa na baba yangu anafanya kazi kwa joto la kitropiki

英語

we are four in our family my mum is called priya and my dad is called bhavin i also have a young brother called rishaan he is the youngest and naughtiest out of all of us my dad is the oldest and the strongest but my mum works out everyday my mum works for apa insurance and my dad works for tropical heat

最終更新: 2023-07-03
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa sababu hiyo, jambo hili lategemea imani, hivyo kwamba ahadi hiyo yatokana na neema ya mungu, na kwamba ni hakika kuwa ahadi hiyo ni kwa ajili ya wote: si kwa wale tu wanaoishika sheria, bali pia kwa wale waishio kwa imani kama abrahamu. yeye ni baba yetu sisi sote.

英語

therefore it is of faith, that it might be by grace; to the end the promise might be sure to all the seed; not to that only which is of the law, but to that also which is of the faith of abraham; who is the father of us all,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwanablogu na mwanaharakati najib chaouki aliandaa ukurasa wa kundi la facebook aliouita "sisi sote ni wahanga wa mateso,"ambapo katika utangulizi alitoa mwito kwa "watekelezaji wote wa makosa ya utesaji wafikishwe mbele ya sheria na kuhukumiwa kiadilifu."

英語

blogger and activist najib chaouki created a facebook group called "we are all victims of torture," in which preamble he calls for the "perpetrators of this crime to be prosecuted diligently."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,781,597,939 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK