検索ワード: ndoa jinsia moja (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

ndoa jinsia moja

英語

same-sex marriage

最終更新: 2024-01-10
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nataka picha za kufilana jinsia moja kiswaili

英語

i want a picture of the same sex

最終更新: 2024-04-11
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama watu wapendao mapenzi ya jinsia moja wanavyostahili.

英語

as we lgbt individuals deserve.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nataka picha za x kutombana jinsia moja ulaya

英語

i want x pictures of homosexuality in europe

最終更新: 2020-09-14
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

washiriki wengi katika maandamano hayo walipaza sauti zao kuunga mkono hatua kuhalalisha kisheria ndoa za jinsia moja.

英語

most of the participants in the parade voiced their support for the legalization of same-sex marriage.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

novemba 30, zaidi ya watu 300,000 walipinga muswada huu, hasa dhidi ya pendekezo juu ya ndoa za jinsia moja.

英語

on nov 30, more than 300000 people protested against this bill, in particular against the proposal on same-sex marriage.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ban aliwatolea mfano watu wafanyao mapenzi ya jinsia moja, wasagaji na mashoga kuwa ni watu ambao haki zao zinahitaji kutambuliwa na kuheshimiwa na watu wote.

英語

mr. ban notes homosexuals, lesbians and gays are people whose rights need to be dignified and respected by mankind.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

bunge liliupitia muswada huo baada ya kuusoma kwa mara ya kwanza oktoba 23, 2013, lakini mchakato wa kisheria ulisimamishwa baada ya wapinzani wa sheria hiyo kupinga vikali ndoa za jinsia moja.

英語

the legislature passed the first reading on october 25, 2013, but the legislative process was suspended in reaction to a massive mobilization of opponents of same-sex marriage.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kupigana busu hadharani lazima iwe haki ya kila mmoja, lakini wengi wanaona harakati hizo kama kashfa ya wazi wazi, hasa kama inatokea kati ya watu wa jinsia moja.

英語

kissing in public should be everyone's right, but many view it as a public scandal, if it happens between other individuals besides heterosexuals.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

matishio haya yanajumuisha: dhana mpya wa haki za binadamu inayozipa nafasi tabia za mahusiano ya jinsia moja na tabia za kujibadilisha jinsia kuwa makundi ya watu yanayolindwa kisheria.

英語

these threats include: redefining human rights to elevate homosexual and transgender behavior as legally protected categories of people.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watu wenye kupenda mapenzi ya jinsia moja ndio ambao wamekuwa wakihusika na masuala mengi ya kijamii na ubaguz wa kikazi katika nchi yetu, na wala hatujawahi kuona unyanyapaa na hisia za ubaguzi kwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi zikipatiwa majibu yake kikamilifu, na pia kuhusu uwezo wao wa kitaalam na haki ya kutafuta aina yoyote ya kazi.

英語

the transgender individuals are the ones who deal with the most social and labor discrimination in our country, nor has the stigma and prejudice towards individuals with hiv/aids been completely resolved, and also in regards to their professional abilities and the right to pursue any type of employment.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

aidha kuna hitaji la kuwalinda watoto wetu na vijana wanaofanywa kuwa wepesi kudhurika na ukatili wa kingono na kuharibiwa maadili yao kama matokeo ya mabadiliko ya kiutamaduni, teknolojia holela ya habari, ukuaji wa watoto bila wazazi na kuongezeka kwa majaribio ya mashoga kulea watoto katika mahusiano ya jinsia moja kwa njia ya kuasili, malezi ya kambo, ama vinginevyo.

英語

there is also need to protect our children and youths who are made vulnerable to sexual abuse and deviation as a result of cultural changes, uncensored information technologies, parentless child developmental settings and increasing attempts by homosexuals to raise children in homosexual relationships through adoption, foster care, or otherwise.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maudhui ya matembezi ya mwaka 2014 yalikuwa ‘tembea kwa kutumia viatu ya (unaowaona) hawako kawaida,’ yakiakisi sauti za jamii za watu wa mapenzi ya jinsia moja, mashoga, wanaotengwa kama walemavu, watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na makahaba.

英語

the theme of the 2014 parade was ‘walk in queers’ shoes,’ featuring voices from marginalized lgbt communities such as physically disabled people, hiv-positive people and sex workers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,739,060,417 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK