検索ワード: nimefanya (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

nimefanya

英語

god bless you too

最終更新: 2022-08-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nimefanya nini kwakoo

英語

what did i do to you

最終更新: 2023-11-19
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nimefanya nini wakati huo

英語

what were u doing at that time

最終更新: 2024-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nisamehe kwa ma kosa nililokua nimefanya

英語

forgive me for the mistake i had made

最終更新: 2022-12-28
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwanini hutaki kunisamehe nimefanya kosa gani kuba

英語

why don't you want to forgive me what crime i've done in

最終更新: 2022-11-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na nimefanya haraka kukujia, mola wangu mlezi, ili uridhike.

英語

'i have hastened, lord, only that i may please thee.'

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nimefanya kazi na waratibu mbalimbali na mshahara wangu haujawahi kusimamishwa isipokuwa wakati huu kwa sababu ya kushiriki mgomo.

英語

i have worked with various directors and my salary has never been suspended except this time because of my participation in the strike.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mnajua ninyi wenyewe kwamba nimefanya kazi kwa mikono yangu mwenyewe, ili kujipatia mahitaji yangu na ya wenzangu.

英語

yea, ye yourselves know, that these hands have ministered unto my necessities, and to them that were with me.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nimefanya kwa kadiri ya uwezo wangu, lakini mimi kama binadamu, siwezi kuwa mkamilifu, hakuna aliye mkamilifu.

英語

i have done my best, but as a human being i cannot be perfect, nobody is perfect.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

akasema: hao wapo nyuma yangu wananifuatia. na nimefanya haraka kukujia, mola wangu mlezi, ili uridhike.

英語

he replied: "behold, they are close on my footsteps: i hastened to thee, o my lord, to please thee."

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

lakini nimewaandikia hapa na pale katika barua hii bila woga, nipate kuwakumbusheni juu ya mambo fulani. nimefanya hivyo kwa sababu ya neema aliyonijalia mungu

英語

nevertheless, brethren, i have written the more boldly unto you in some sort, as putting you in mind, because of the grace that is given to me of god,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nimefanya kazi na kutaabika, nimekesha bila usingizi mara nyingi; nimekuwa na njaa na kiu; mara nyingi nimefunga na kukaa katika baridi bila nguo.

英語

in weariness and painfulness, in watchings often, in hunger and thirst, in fastings often, in cold and nakedness.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwenda kwangu kulitokana na ufunuo alionipa mungu. katika kikao cha faragha niliwaeleza hao viongozi ujumbe wa habari njema niliohubiri kwa watu wa mataifa. nilifanya hivyo kusudi kazi yangu niliyokuwa nimefanya, na ile ninayofanya sasa isije ikawa bure.

英語

and i went up by revelation, and communicated unto them that gospel which i preach among the gentiles, but privately to them which were of reputation, lest by any means i should run, or had run, in vain.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini, kwa neema yake mungu, nimekuwa kama nilivyo. na neema yake kwangu haikuwa bure. mimi nimefanya kazi kuliko wote; si mimi hasa, ila ni neema ya mungu ifanyayo kazi pamoja nami.

英語

but by the grace of god i am what i am: and his grace which was bestowed upon me was not in vain; but i laboured more abundantly than they all: yet not i, but the grace of god which was with me.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

habari za asubuhi mpenzi wangu.. sweetheart naelewa kulinda moyo♥. nilipendana nawe papo hapo. sikuwa na hisia hii kwa muda mrefu sana. ninapenda jinsi ulivyonifanya nijisikie ndani. tunashiriki mioyo yetu na kuweka nadhiri ya kulinda. najua wewe ni kusita kuishi na mimi na naweza kuelewa. hata maili nyingi mbali na moyo wangu hakuna anayejua tofauti. wakati mwingine unanifanya nijisikie sawa na wewe. katika akili yangu nimefanya upendo laini, tamu na mpole kwako. mimi kujaribu kuepuka hisia hii lakini anaendelea kuja nyuma.

英語

good morning my love.. sweetheart i understand protecting the heart ♥. i fell in love with you instantly. i hadn't had this feeling for such a long time. i love the way you made me feel inside. we share our hearts and vow to protect. i know you're hesitant to live me and i can understand. even many miles away my heart knows no different. sometimes you make me feel right there with you. in my mind i've made soft sweet gentle love to you. i try avoiding this feeling but it keeps coming back. i w

最終更新: 2022-05-18
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,781,792,469 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK