検索ワード: nunua sauti ya mlio wa simu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

nunua sauti ya mlio wa simu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

sauti ya nyoka

英語

the sound of a snake

最終更新: 2021-10-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama tukiti sauti ya mungu

英語

if we listen to the voice of god

最終更新: 2024-06-08
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

fundi wa simu

英語

a mobile phone technician

最終更新: 2023-09-29
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wanablogu walitaka kuwa sauti ya eneo hili la tisa.

英語

the bloggers wanted to be the voice of this ninth zone.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

msomaji mwingine anaipenda sauti ya vuvuzela kiasi kwamba angeweza kununua sauti-mwito wa simu yake!:

英語

another reader likes the sound so much and would even buy vuvuzela ringtone!:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

dave taylor anadhani kuwa sauti ya vuvuzela inakera na kusumbua:

英語

dave taylor found the noise from the vuvuzela annoying and distracting:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watu huwaita marafiki ambao wana kidogo cha kutoa, ghairi ya sauti iliyo upande wa pili wa simu.

英語

at best people call their friends, who have little to offer, other than a voice on the other end of the line.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sauti ya vuvuzela inaudhi na ndiyo maana kuta za yeriko zilianguka!:

英語

the vuvuzela sound is annoying and that is why walls of jericho fell!:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hakika katika sauti mbaya zote bila ya shaka iliyo zidi ni sauti ya punda.

英語

indeed the ungainliest of voices is the donkey’s voice.’

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

karibuni katika matangazo ya sauti ya moja kwa moja (podikasti) kutoka katika mkutano wa sauti za kimataifa.

英語

welcome to the global voices podcast.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa hiyo leo tumesimama kuwa sauti ya wasio na sauti." - 13 julai, 2014.

英語

so today we stood up to be the voice of the voiceless." - july 13, 2014.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

vifua vyao vilikuwa vimefunikwa kitu kama ngao ya chuma. sauti ya mabawa yao ilikuwa kama sauti ya msafara wa magari ya farasi wengi wanaokimbilia vitani.

英語

and they had breastplates, as it were breastplates of iron; and the sound of their wings was as the sound of chariots of many horses running to battle.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ni akina nani basi, waliosikia sauti ya mungu wakamwasi? ni wale wote walioongozwa na mose kutoka misri.

英語

for some, when they had heard, did provoke: howbeit not all that came out of egypt by moses.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kulikuwa na mamia ya jumbe za twita zinazoandikwa kila dakika wakati wa matangazo ambapo kama sauti ya raajesh ilivyosema:

英語

there were hundred of twitter messages appearing in a minute during the live transmission where voices like raajesh said:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

huduma nyingine ambazo serikali ya saudi arabia inatishia kuzizuia ni pamoja na skype na hduma ya kutumiana ujumbe wa simu za mkono iitwayo whatsapp.

英語

other services the saudi authorities are threatening to block include skype and mobile messaging service whatsapp.

最終更新: 2023-08-29
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ndege za f-16 zinapiga hivi sasa. na mlio wa gari ya wagonjwa ni mkubwa.

英語

f16 is shelling right now. and the sound of the ambulance is loud.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mnamo disemba 18, 2008, mamilioni ya wateja wa simu za viganjani wa thailand walipokea ujumbe huu kutoka kwa waziri mkuu mpya abhisit vejjajiva:

英語

on december 18, 2008, millions of thai mobile phone subscribers got this text message from the newly installed prime minister abhisit vejjajiva:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

miguu yake iling'aa kama shaba iliyosafishwa katika tanuru ya moto na kusuguliwa, na sauti yake ilikuwa, kama sauti ya poromoko la maji.

英語

and his feet like unto fine brass, as if they burned in a furnace; and his voice as the sound of many waters.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

msinyanyue sauti zenu kuliko sauti ya nabii, wala msiseme naye kwa kelele kama mnavyo semezana nyinyi kwa nyinyi, visije vitendo vyenu vikaharibika, na hali hamtambui.

英語

do not raise your voices above the voice of the prophet, and do not speak aloud to him like you shout to one another, lest your works should fail without your being aware.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

basi, nikasikia sauti kutoka mbinguni, sauti iliyokuwa kama sauti ya maji mengi na kama sauti ya ngurumo kubwa. sauti niliyosikia ilikuwa kama sauti ya wachezaji muziki wakipiga vinubi vyao.

英語

and i heard a voice from heaven, as the voice of many waters, and as the voice of a great thunder: and i heard the voice of harpers harping with their harps:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,799,910,688 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK