検索ワード: shinawatra (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

shinawatra

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

picha kutoka kwenye ukurasa wa facebook wa yingluck shinawatra.

英語

image from the facebook page of yingluck shinawatra.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wengi katika kundi la mashati mekundu ni mashabiki wa wazairi mkuu aliyetolewa thaksin shinawatra lakini siyo wote wanaomshabikia kiongozi huyo mtoro ambaye hivi karibuni mahakama iliamua kuwa ana hatia ya rushwa.

英語

many red shirts are supporters of ousted prime minister thaksin shinawatra but not all of them are fans of the fugitive leader who was recently found guilty by the court of corruption charges.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

waziri mkuu aliye kwenye shinikizo yingluck shinawatra alionekana mwenye furaha kwamba yeye labda anaweza kubaki madarakani kwa muda mrefu kidogo, licha ya kukabiliwa na mashtaka mawili ya ufisadi.

英語

the beleaguered prime minister yingluck shinawatra seemed elated that she could perhaps hang on to power for a little longer, despite facing two serious corruption charges.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

bunge la nchi hiyo lilisimamia mchakato wa kupiga kura ya siri kumwondoa waziri mkuu huyo wa zamani yingluck shinawatra kwa tuhuma zinazohusina na mpango wa kununua mchele uliokusudiwa kuwasaidia wakulima wadogo, mpango ambao aliusimamia yeye.

英語

the national legislative assembly (nla) went through the motions of a secret ballot to impeach former prime minister yingluck shinawatra over corruption related to a rice pledging scheme intended for small farmers that she supervised.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mamia ya wa-thai hivi karibuni yalitumia salamu hiyo kwenye mazishi ya naibu spika wa zamani apiwan wiriyachai, kwa kumsalimia yingluck shinawatra kwa ishara hiyo, alipowasili kutoa heshima zake za mwisho.

英語

hundreds of thais recently used the salute at the cremation ceremony for former deputy house speaker apiwan wiriyachai, greeting yingluck shinawatra with the three fingers, when she arrived to pay her respects.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika picha inayofanana na filamu za hollywood, watu waliohudhuria zoezi la uchomaji wa mwili wa aliyekuwa naibu spika wa thailand apiwan wiriyachai walionesha ishara ya vidole vitatu kumsalimia waziri mkuu wa nchi hiyo yingluck shinawatra, katika kile kinachoonekana kuwa ni ujumbe mpya wa matumaini kwa nchi ya thailand.

英語

in an image resonant of a hollywood movie, attendees at the cremation of former deputy house speaker apiwan wiriyachai held up the three-finger salute to the former prime minister of the country yingluck shinawatra, in what could be seen as a silent message of hope for thailand.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa hakika, wapinzani wa mapinduzi ya kijeshi hivi majuzi nchini thailand, yaliyoiong'oa madarakani serikali iliyokuwa imechaguliwa kidemokrasia iliyokuwa ikiongozwa na yingluck shinawatra, na waliweza kuiga alama ya vidole maarufu ya vitatu inayoonekana kwenye filamu hiyo.

英語

indeed, opponents of thailand's recent coup, which displaced the democratically-elected government of yingluck shinawatra, have even adopted the movie's famous three-finger salute.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,782,222,954 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK