プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
alama ya reli
alama ya reli
最終更新: 2021-03-15
使用頻度: 1
品質:
参照:
umeacha alama ya mapenzi mwilini
leaving a mark of love on the body
最終更新: 2022-02-14
使用頻度: 1
品質:
参照:
alama ya #jega inaongoza kwenye twita:
#jega trending on twitter:
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
hakuna siri ya what to
there's no secret
最終更新: 2023-11-21
使用頻度: 1
品質:
参照:
alama ya kampeni za rouhani ilikuwa ni ufunguo.
a key was the symbol for rouhani's campaign.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
alama ya #eminadnan pia inatumika kwenye twitter.
the hashtag #eminadnan is also used on twitter.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
alama ya rais mteule hassan rouhani ilikuwa ni ufunguo.
the campaign symbol of president-elect hassan rouhani was a key.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
alama ya picha nyuma ya ipad. picha: marc campos.
a photo label on the back of an ipad credit: marc campos.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
alama ya wfd katika strasbourg 2013 picha kwa niaba ya suzanne lehn
logo of the wfd in strasbourg 2013 photo suzanne lehn
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
alama ya maandamano kutoka kwenye kundi la facebook liitwalo csstatranslategroup.
protest icon from csstatranslategroup.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
hivi sasa, alama ya #iregistered inatawala mijadala ya mtandao wa twita.
currently, the hashtag #iregistered is trending on twitter.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
nchini japani, alama ya reli #chinesedontcometojapan ilivuma katika mtandao wa twitter.
in japan, the hashtag #chinesedontcometojapan trended on twitter.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
参照:
alama ya #pinkstuff pia ni mada maarufu katika ulimwengu wa twita wa uganda:
the hashtag #pinkstuff is also popular topic in the ugandan twittersphere:
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
hatutakubali kubandikwa alama ya ugaidi kwa sababu ya siku 58 za kutokufanya kazi kwa simu ya kiganjani ya rais.
we will not accept the label of terrorism bestowed on us by the 58 days inactivity of our president’s mobile phone.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
alama ya tahadhari iliyoning'inia pembeni mwa uzioikisomeka, "hatari, usikaribie."
a warning sign hung beside the fence reads, "danger, don't come near."
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
kuna mtu amependekeza tutumie alama ya #wikiarab ili kutuma ujumbe wa twita kuhusu mvujo mpya zaidi wa wikileaks
someone suggested that we use the hashtag #wikiarab to tweet about the latest wikileaks leak
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
shelby pia anaongoza kampeni kwenye twita, kwa kutumia alama ya #moroccoorphans na ameanzisha kikundi cha facebook.
shelby is also leading a campaign on twitter, using the hashtag #moroccoorphans and has started a facebook group.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
““hebu tuseme ngoma hii ina asili ya kimongolia au utamaduni wa kalmyki, lakini sisi ndio tuliifanya kuwa alama ya kitaifa.
“let’s say the dance has roots in mongolian or kalmykian culture, but we’re the ones who made it into a national brand.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
utafutaji katika twita kwa kutumia alama ya #makerere kwa siku nzima uliishia bila jibu lolote zaidi ya ripoti za habari hiyo.
searches for #makerere all day on twitter search resulted in nothing more than news reports.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
rangi ya zambarau ni alama ya maombolezo nchini rwanda na jana tarehe 7 aprili, ilikuwa siku ya kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu mauaji ya kimbari.
the colour purple is the colour of mourning in rwanda and yesterday, 7th april, was the 15th anniversary of the genocide.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照: