検索ワード: spika wa bunge (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

spika wa bunge

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

katibu wa bunge

英語

katibu ofisi ya rais

最終更新: 2022-06-18
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katibu wa bunge msaidizi

英語

the parliamentary secretariat

最終更新: 2022-06-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katibu wa bunge daraja la pili

英語

the parliamentary secretariat

最終更新: 2022-06-14
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwenyekiti wa bunge la taifa la serikali ya watu

英語

chairman of the national assembly of people's power

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wakati spika wa bunge alipokataa kupokea muswada huo, mapigano yalianza kati ya raia na polisi.

英語

when the speaker of the parliament refused to register the bill, clashes broke out between the people and the police.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

diosdado cabello ndiye rais wa bunge la taifa hilo venezuela.

英語

diosdado cabello is currently president of the national assembly (venezuelan parliament).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika makala yake ya mwisho, alimkosoa ali larijani, kiongozi wa bunge la iran.

英語

in his final post he criticized ali larijani, head of the iranian parliament.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, haikuweza kufahamika moja kwa moja, alichokuwa anakikifanya chenge katika ukumbi wa bunge.

英語

that day in parliament, however, it was unclear what, exactly, chenge was doing.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

uchaguzi wa bunge la nchi hiyo utafanyika oktoba 26 wakati duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais imepangwa kufanyika novemba 23.

英語

tunisia' parliamentary elections will be held on october 26 while the first round of presidential poll is scheduled for november 23.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

correa na makamu wake jorge glas waliapishwa na rais wa bunge, gabriela rivadeneira, asubuhi ya mei 24, 2013.

英語

correa and his vice president jorge glas were sworn in before the president of the national assembly, gabriela rivadeneira, on the morning of may 24, 2013.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

alionekana tena kidogo wakati wa kufungua mkutano wa bunge wa 2014-2015, ambapo alishindwa kusoma hotuba iliyoandaliwa.

英語

he briefly reappeared at the official opening of the 2014-2015 parliamentary session, where he failed to read his prepared speech.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

bwana ndugai alitoa amri kuwa, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani atolewe katika ukumbi wa bunge kwa kukataa kutii amri ya kukaa.

英語

mr ndugai ordered that the chadema supremo be kicked out for disregarding his orders to sit down.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mheshimiwa alinaswa na kamera hizo zilizomuonesha akiingia bungeni masaa kadhaa baada ya kusindikizwa na mfanyakazi wa bunge na kisha kuonekana akinyunyiza kitu kwenye viti vyote vya wabunge.

英語

mr. andrew chenge was caught on cctv a few nights ago doing something very fishy inside parliament. mheshimiwa was filmed entering the building after hours in the company of a parliament staff member, and sprinkling an unknown substance on every all the mps' seats.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baadhi ya majina yaliyoorodheshwa katika makisio ya watu ni pamoja na mkewe janet kataha museveni, mwanae wa kiumemuhoozi kainerugaba, amama mbabazi, waziri mkuu na rafikiye wa karibu, na rebecca kadaga, spika wa sasa wa bunge.

英語

some of the names listed in the speculation included his wife janet kataha museveni, his son muhoozi kainerugaba, amama mbabazi, the current prime minister and museveni's close friend, and rebecca kadaga, the current speaker of parliament.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika jukwaa maarufujamii forums, picha zilimuonesha mbilinyi akikataa kuondolewa katika ukumbi wa bunge na maafisa usalama, uliibua mjadala wa kina kuhusiana na aina ya siasa ya tanzania.

英語

on the popular platform jamii forums, photos showing mbilinyi resisting attempts by officers to remove him from the house floor generated considerable debate about the nature of politics in tanzania.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

miaka kumi na sita baada ya uchaguzi wake wa mwisho, waangola kwa mara nyingine tena watapata fursa ya kutumia haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi wa bunge,utakaofanyika kuanzia tarehe 5 mpaka 9 septemba.

英語

sixteen years since the last elections, angolans will once again have the opportunity to exercise their right to vote in the upcoming legislative elections, taking place from 5 through 6 september.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mamia ya wa-thai hivi karibuni yalitumia salamu hiyo kwenye mazishi ya naibu spika wa zamani apiwan wiriyachai, kwa kumsalimia yingluck shinawatra kwa ishara hiyo, alipowasili kutoa heshima zake za mwisho.

英語

hundreds of thais recently used the salute at the cremation ceremony for former deputy house speaker apiwan wiriyachai, greeting yingluck shinawatra with the three fingers, when she arrived to pay her respects.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mbunge wa chama cha upinzani cha chadema, mheshimiwa joseph mbilinyi, alijikuta katika wakati mgumu pale alipokuwa akikabiliana kwa nguvu na majibizano na maafisa usalama wa bunge, tukio lililokuwa la kushangaza na la kuwaacha watu midomo wazi.

英語

an opposition mp joseph mbilinyi of chadema found himself embroiled in a physical altercation with parliamentary security officers that surprised and shocked in equal measure.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika picha inayofanana na filamu za hollywood, watu waliohudhuria zoezi la uchomaji wa mwili wa aliyekuwa naibu spika wa thailand apiwan wiriyachai walionesha ishara ya vidole vitatu kumsalimia waziri mkuu wa nchi hiyo yingluck shinawatra, katika kile kinachoonekana kuwa ni ujumbe mpya wa matumaini kwa nchi ya thailand.

英語

in an image resonant of a hollywood movie, attendees at the cremation of former deputy house speaker apiwan wiriyachai held up the three-finger salute to the former prime minister of the country yingluck shinawatra, in what could be seen as a silent message of hope for thailand.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mukhtadha ambao tukio la "besada" linafanyika ni utekelezaji wa sheria mpya ya kazi, iliyoondoa mapendekezo ya mariela castro espín, mbunge wa bunge la cuba na shushushu maarufu wa nchi hiyo, kwamba utambulisho wa kijinsia una nia ya kuwabagua watu kwenye mazingira ya kazi.

英語

the context in which the "besada" is taking place is the recent enactment of the new labor code, which excluded the recommendation of mariela castro espín, member of the cuban parliament and renowned cuban investigator, of including gender identity as a motive of discrimination in the work environment.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,794,097,903 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK