検索ワード: tathmini madai ya oanisho fupi yanum_short_matches (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

tathmini madai ya oanisho fupi yanum_short_matches

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

hata hivyo, baadhi ya watu hawajaridhishwa na madai ya serikali.

英語

but some people are not satisfied with the government's claim.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wanablogu pia wamekuwa na mashaka kuhusiana na halali wa madai ya aina hii.

英語

bloggers have also doubted the legal basis for such demands.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ongezeko la kima cha chini limekuwa halihusiani na mfumuko wa bei, kinyume na madai ya waandamanaji.

英語

the increase has not been in line with inflation, unlike what the protesters claim.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, madai ya kwamba sumu ya poloni ilitumiwa, huo ulikuwa ushahidi mpya wa kina.‏

英語

however the allegation that polonium was used was a new detail.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wengi wao hawakushangaa kuhusu madai ya kwamba arafat aliwekewa sumu, jambo ambalo kwa muda limedaiwa na watu wengi.

英語

the majority were not surprised by the allegations that arafat was poisoned, something that has long been claimed by many.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kanisa katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini humo limeunga mkono madai ya upinzani ya kusimamisha shughuli yoyote ya kupitia upya ratiba ya uchaguzi.

英語

the very influential catholic church has backed the opposition request to forego any revision to the planned electoral calendar.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanablogu elias munshya munshya, alijibu madai ya banda kwamba aliona cheti cha uchunguzi wa afya ya lungu aliandika:

英語

blogger elias munshya munshya, in response to banda’s claims of having seen lungu’s medical report, wrote:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

aquino ameyakataa madai ya wafanyakazi ya kupandisha mishahara yao, kuachana na mfumo wa ajira za mkataba na kusimamishwa kwa ukandamizaji unaofanywa na vyama vya wafanyakazi.

英語

aquino has again rejected workers’ calls for a significant wage hike, the junking of contractual employment and a stop to trade-union repression.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

taarifa kutoka juba zinasema mkuu wa upelelezo wa jeshi, jenerali mac paul kuol awar, ametupilia mbali madai ya jaribio la kijeshi la desemba 15, 2013.

英語

reports from juba have it that the head of military intelligence, gen. mac paul kuol awar, has rubbished the alleged coup attempt of december 15, 2013.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kimsingi, mkurugenzi wa upelelezi wa kijeshi, aliyeitwa kuyapa nguvu madai ya serikali kuwa kulikuwa na mapinduzi, alikuwa imara kudai hapakuwa na kitu kama hicho.

英語

ironically, the director of military intelligence, who was called to back up government’s assertion that there was a coup, came out strongly arguing that there was no such thing as a coup.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ingawa filamu hiyo ina vipande vya habari za neves zilizochukuliwa kutoka kwenye vituo vya runinga vya habari, vinavyoweza kuyapa nguvu madai ya kukiukwa kwa haki miliki, filamu hizo hazina maudhui ya namna hiyo.

英語

although the documentary contains some footage of neves taken by tv news stations, and thus potentially vulnerable to copyright violation claims, the spoof video includes no content of this sort.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

akiwa kijana na mwenye nguvu, khusta aliandaa mgomo wa kiuchumi dhidi ya biashara zinazomilikiwa na makaburu kushinikiza madai ya watu weusi ya kuheshimiwa -kuheshimiwa utu wao na serikali ya makuburu wa afrika kusini.

英語

young and energetic, khusta led an economic boycott of downtown white-owned businesses in port elizabeth to leverage black people’s demands for better treatment -humane treatment by the apartheid government of south africa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"tunaamini israeli lazima isitishe mara moja bila masharti mashambulizi yake huko gaza, isitishe ukaliaji wa mabavu kwenye ukingo wa magharibi, waache madai ya kumiliki au kuendesha himaya inayovuka mipaka yake ya 1967.

英語

"we believe israel should immediately and unconditionally end its assault on gaza, end the occupation of the west bank, and abandon all claims to possess or control territory beyond its 1967 borders.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,724,303,764 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK