検索ワード: tishio la kifo (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

tishio la kifo

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

"ongezeko la joto ni tishio la kweli.

英語

"global warming is a real threat.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kuna tishio la vita ya mavuvuzela huko uholanzi.

英語

there is a real vuvuzela war threat in the netherlands.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

picha: hivi ndivyo sehemu za pwani ya chile zinavyohamwa kufuatia tishio la tsunami.

英語

pictures: this is how chile's coasts are being evacuating due to the tsunami alert.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati wa tishio la tsunami, endoka kwa mguu nenda kwenye eneo la karibu zaidi kukutania.

英語

during a tsunami alert, evacuate by foot and go the nearest meeting point.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama ilivyo kwenye nchi nyingine, makosa ya mtandaoni na uhalifu wa kifedha kwa hakika ni tishio la muda mrefu kwa tanzania.

英語

as in many other countries, online fraud and financial scams indeed are a persistent threat in tanzania.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tishio la usalama linatajwa kama sababu: mtoto ndani ya gereza ni dhaifu na atakuwa shabaha ya malengo maovu siku zote.

英語

the security threat is cited as the reason: a child inside a prison is a constant vulnerable life and constant hostage target.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

blogu ya mozmaniacos imezindua kampeni ya mtandaoni ya kudai amani nchini msumbiji, kufuatia tishio la kuhatarisha amani iliyodumu kwa miaka 20 .

英語

the blog mozmaniacos has launched an online campaign for peace in mozambique, after recent threats to over 20 years of peace.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ambapo mnamo tarehe 4 machi, 2020, nilitangaza hali ya dharura katika california kama matokeo ya tishio la covid-19;

英語

whereas on march 4, 2020, i proclaimed a state of emergency to exist in california as a result of the threat of covid-19;

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na kuwaangazia wote wanaokaa katika giza kuu la kifo, aongoze hatua zetu katika njia ya amani."

英語

to give light to them that sit in darkness and in the shadow of death, to guide our feet into the way of peace.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

wakati wananchi wa mali wakiwa wanajiandaa na uchaguzi, walishangazwa na mapinduzi ya kijeshi mnamo 21, 2012 , na tishio la kujitenga kwa sehemu ya kaskazini ya nchi hiyo.

英語

as the people of mali were preparing for elections, they were caught unawares by a military coup on march 21, 2012, and the threat of partition of north mali.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mojawapo ya mashinikizo yaliyomfanya rais sidi afanye alivyofanya ni kuwapo tishio la kuundwa tume huru ya kuchunguza mapesa ya mfuko wa maendeleo wa mkewe, tume ambayo ingemuweka hata yeye mwenyewe pabaya zaidi.

英語

one of the major pressures that forced sidi to act the way he did towards the end was the threat of a commission being formed to investigate the financial side of his wife’s foundation, which would surely have done him in ever more deeply.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ni katika kuenzi urithi wa kitamaduni na wa sanaa ya ubunifu wa majengo kwa jiji la dar es salaam sambamba na juhudi za kukuza uelewa kwa wananchi juu ua tishio la urithi huu linalotokana na kasi kubwa ya kupanuka holela kwa jiji hilo.

英語

it is a celebration of the cultural and architectural heritage of dar es salaam as well as an effort to raise awareness of the threats to this heritage posed by rapid and unplanned urban development.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

marafiki, niungeni mkono!" alitwiti mikhail dvorkovich, mfanyabiahsra wa kirusi na kaka wa mshauri wa medvedev, ikiwa ni majibu kwa tishio la marekani kuweka vikwazo dhidi ya maafisa wa urusi.

英語

friends, join me! #stopusa" tweeted mikhail dvorkovich, a russian businessman and brother to a medvedev adviser, as a response to threat of american sanctions against russian officials.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

muswada huu unazuia kuchapishwa kwa “taarifa zinazopotosha, zenye udanganyifu au zisizo na ukweli”, kipimo ambacho nanfuka anasema kinaleta tishio la wazi kwa haki ya kujieleza kwa uhuru na uwazi mtandaoni.

英語

the bill outlaws the publication of "misleading, deceptive or false" information, a measure that nanfuka noted presents a clear threat to free and open expression online.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

mitandao ya kijamii, hususani twita, imefurika picha za maandamano hayo katika kila mkoa, ikichukua nafasi ya vyombo vikuu vya habari nchini venezuela, ambavyo kwa sasa vimefungiwa kufuatia tishio la serikali kuvipiga faini vyombo vya habari vitakavyotangaza ama kuandika habari za maandamano hayo.

英語

social networks, specially twitter, have been flooded with photos documenting the protests in each region, taking the place of the regular mass media in venezuela, which is going through a blackout due to the government's threats to fine media who cover the protests.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tetemeko kubwa lenye vipimo vya tetemeko 8.3 limeitikisa sehemu ya kaskazini mwa chile na kusini mwa peru, pamoja na maeneo ya jirani nchini bolivia, saa za jioni siku ya jumanne ya april mosi, 2014, hali iliyosababisha tishio la tsunami kwenye ukanda huo wa pwani.

英語

a powerful 8.3-magnitude earthquake hit northern chile and southern peru, as well as neighboring areas in bolivia, during the early evening of tuesday, april 1, 2014, triggering a tsunami warning for the coastline.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama itikio kwa mkurupuko unaoendelea irani, who ilituma timu ya misheni ya pamoja huko kutathmini hali.tarehe 28 februari, ofisa wa who walisema kuwa utathmini wa tishio la virusi vya korona katika kiwango cha kimataifa itaongezwa kutoka "juu" hadi "juu zaidi", kiwango cha juu zaidi cha tahadhari na utathmini wa hatari.

英語

in response to a developing outbreak in iran, the who sent a joint mission team there to assess the situation.on 28 february, who officials said that the coronavirus threat assessment at the global level would be raised from "high" to "very high", its highest level of alert and risk assessment.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,781,439,626 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK