プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
nilimtuma tukiko kule efeso.
and tychicus have i sent to ephesus.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
tukiko, ndugu yetu mpenzi na mtumishi mwaminifu wa bwana, atawapeni habari zangu zote mpate kujua ninachofanya.
but that ye also may know my affairs, and how i do, tychicus, a beloved brother and faithful minister in the lord, shall make known to you all things:
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
baada ya kumtuma kwako artema au tukiko, fanya bidii kuja nikopoli unione, maana nimeamua kukaa huko wakati wa majira ya baridi.
when i shall send artemas unto thee, or tychicus, be diligent to come unto me to nicopolis: for i have determined there to winter.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
sopatro, mwana wa pirho kutoka berea, aliandamana naye; pia aristarko na sekundo kutoka thesalonika, gayo kutoka derbe, timotheo, tukiko na trofimo wa mkoa wa asia.
and there accompanied him into asia sopater of berea; and of the thessalonians, aristarchus and secundus; and gaius of derbe, and timotheus; and of asia, tychicus and trophimus.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質: