検索ワード: ufumbuzi (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

ufumbuzi

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

nini maana ya neno uvumbuzi na ufumbuzi

英語

what is meant by the word innovation and solution

最終更新: 2020-04-02
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lasso anatoa ufumbuzi kwa changamoto hizi wanazokabiliana nazo wanablogu:

英語

lasso also offers some solutions for the challenges bloggers face:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kujiuzulu kwake kutaleta ufumbuzi kwa kiasi fulani kwenye mgogoro wa kisiasa.

英語

his resignation will partly solve the political crisis.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lucky tan naye hajashawishikana ilani hiyo na anaonya kwamba ufumbuzi uliopendekezwa umeshawahi kufanyika huko nyuma:

英語

lucky tan is not impressed with the manifesto and warns that the proposed solutions have been done before:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa vyombo vya kimataifa vyakutetea haki za binadamu, kuingilia kati na kudai ufumbuzi wa haraka na halisi ya hali inyayoikabili nchi.

英語

to international human rights advocate entities, to intervene and demand a quick and real solution to the situation the country is facing.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

alikuwa akikimbia hatari ya kupoteza maisha yake, na ufumbuzi pekee aliokuwa nao ulikuwa ni kuondoka haraka angola, na kurudi nchini mwake.

英語

she was running the risk of losing her life, and the only solution that she had was to immediately leave angola, and return to her country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

pia, mpatanishi wa amani lakhdar brahimi aliwasili syria leo kama sehemu ya mpango wake wa "kutafuta ufumbuzi" katika nchi.

英語

also, peace envoy lakhdar brahimi arrived in syria today as part of his mission to "broker a solution" in the country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kwa ushirikiano na serikali ya denmark na nyingine, tunazindua mfululizo wa tabaka na ziara ili kukusaidia kuvinjari athari zinazoweza kuipata sayari yetu na ufumbuzi wa namna ya kuzidhibiti athari hizo.

英語

in collaboration with the danish government and others, we are launching a series of google earth layers and tours to allow you to explore the potential impacts of climate change on our planet and the solutions for managing it.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@muradalhaiki: kadri ufumbuzi wa kisiasa unavyozidi kucheleweshwa, na ndivyo masuala yanavyozidi kuwa magumu na ndivyo inavyozidi kuwa vigumu kuyatatua.

英語

@muradalhaiki: the more a political solution is delayed, the more complicated matters get and more difficult it is to solve them.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwenye mtandao wa twita, habari zilipokelewa na wasiwasi na mashaka pamoja na wito wa kupatikana kwa ufumbuzi wa kisiasa kumaliza machafuko katika nchi, kufuatia maandamano kuenea dhidi ya serikali ambayo yalianza februari 14, 2011.

英語

on twitter, the news was received with doubt, skepticism and a call for a political solution to end the unrest in the country, following widespread anti-government protests which started on february 14, 2011.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mkutano wa tm utajikita kwenye namna habari na uandishi wa habari unavyoweza kuleta mabadiliko chanya kwa kubadili mitazamo, kuleta ufumbuzi wa kiteknolojia, kukuza uelewa, kuhamasisha uwajibikaji, na zaidi kusambaza furaha.

英語

the tmsummit will focus on how stories and media can create positive change by changing attitudes, bringing new technology solutions, awareness raising, inspiring action, or simply spreading happiness.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa kweli, ufumbuzi unaelezwa katika ilani, ndiyo yale ambayo pap imekuwa ikiyafanya kwa miongo mingi iliyopita, kwa mfano, kuwapa mafunzo wafanyakazi wa kipato cha chini kutoka kazi moja ya kipato cha chini kwenda nyingine n.k.

英語

in fact, where solutions are cited in the manifesto, they are what the pap has been doing in the past decades e.g. retraining of low income workers from one low income job to another etc.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@redpepperug: habari mpya: mtn imethibitisha ‘kuharibika kwa mawasiliano ya simu’ inaeleza timu ya ufundi inayoshughulika kutafuta ufumbuzi wa suala hilo #walk2work #ugandanews kupitia @mtnugandacare

英語

@redpepperug: update: mtn confirms 'general call failure' says technical team working to resolve situation #walk2work #ugandanews via @mtnugandacare

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,794,637,558 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK