検索ワード: uoto wa asili (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

uoto wa asili

英語

nervous

最終更新: 2024-06-17
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ufugaji wa ng'ombe wa asili

英語

indigenous cattle farming

最終更新: 2020-10-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

usimamizi wa misitu na uhifadhi wa asili

英語

bee keeping development operation

最終更新: 2024-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

rejesha menyu zote ziwe katika mpangilio wa asili

英語

revert all menus to original settings?

最終更新: 2014-08-20
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuchapisha bloguni kuhusu utamaduni na ndoa za watu wa asili tofauti

英語

blogging about culture and interracial marriages · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

slate afrique inaeleza mukhtadha wa asili ya kichwa hiki cha habari :

英語

slate afrique explains the context of this original (to say the least) headline :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ninadhani swali lapaswa kuwa rahisi -je uoto wa asili, uzuri, na ardhi itaboreshwa na mradi wa keystone?

英語

i think the question should be simple — will the innately valuable biodiversity, beauty, and sanctity of the land be improved by keystone?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

gazeti limeendeleza mwonekano wake wa asili na halikupokea mabadiliko ya mwandiko wa kompyuta ya ki-urdu.

英語

this paper has maintained its original look and had not compromised with the urdu computer font.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika ukaguzi huu tunawasilisha muhtasari wa asili ya wanyama, usambazaji miongoni mwa aina ya wanyama na uwezo wa hcov kusababisha magonjwa.

英語

in this review we present an overview of the zoonotic origins, interspecies transmission and pathogenesis of hcovs.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

masedonia ni makazi ya watu milioni 2.1, ambao asilimia 63 wana asili ya masedonia na asilimia 25 ni wa asili ya albania.

英語

macedonia is home to 2.1 million people, of which 63 percent are ethnic macedonian and 25 percent are ethnic albanian.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wageni wanajua ni kwa jinsi gani kisiwa chetu kina uzuri wa asili lakini sisi, tunaoishi hapa, hatuonekani kuvutiwa na raslimali zetu wenyewe.

英語

foreigners know how beautiful our island is but we, who live here, do not seem to appreciate about our own treasures.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ricey wild, mmarekani wa asili anayeblogu kwenye blogu ya indian country today, anandika kuhusu kuuawa kwa mbwa mwitu kwenye jimbo la minnesota, marekani.

英語

ricey wild, a native american blogger at the indian country today, writes about wolf slaughtering in minnesota, usa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika indiaties, mwanablogu heather lurdkee, mwamerika aliyeolewa na mhindi anawahoji watu wanaozitazama ndoa za watu wa asili tofauti kama alama ya hadhi au njia ya kupata sifa ya ukaazi wa kudumu.

英語

at indiaties, blogger heather lurdkee, an american married to an indian questions people who see interracial marriage as a status symbol or a way to get permanent residency status.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

virusi vya sars-cov-2 vina 96.2% za nukleotidi zinazofanana na virusi vya cov ratg13 vya popo vilivyotolewa kwa popo wa asili ya rhinolophus affinis.

英語

sars-cov-2 shares 96.2% nucleotide homology with a bat cov ratg13 isolated from rhinolophus affinis bats.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika blogu ya ndoa za watu wa asili tofauti, mwanaume wa ki-australia ambaye pia ni mwanablogu amemwoa mwanamke mwenye asili ya u-china ambaye pia si mwamini mungu.

英語

at interracialmarriage, the blogger-an australian male is married to a chinese woman who happens to be an atheist.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwalimu mwenye uzoefu, mwenye shauku na mwenye umakini na mzungumzaji wa asili wa kiswahili ambaye amejitolea kulinda na kukuza elimu na ustawi wa watoto na vijana wakati wote. caroline anapenda sana kuwapa watoto wadogo na watu wazima elimu bora zaidi maishani.

英語

an experienced, enthusiastic and focused teacher and a native swahili speaker who is committed to safeguarding and promoting the education and well being of children and young people at all times. caroline is passionate about giving young children and adults the best possible education in life.

最終更新: 2020-05-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mtuhumiwa kwa sasa aliyeko mahabusu kwa tuhuma za mauaji ni wa asili ya albania, na wakati ghasia zikisababisha hali ya kutokuelewana kati ya watu wenye asili ya albania na wenzao wa kimasedonia waishio skopje, raia wa masedonia wenye asili tofauti walitoa mwito kupitia mitandao ya kijamii kuwaomba wananchi wenzao kuwa watulivu na kumaliza hali hiyo.

英語

the suspect currently in custody for the murder is of albanian ethnicity, and while riots created tension between ethnic albanian and macedonian populations of skopje, macedonian citizens of all ethnicities appealed through social networks to their fellow countrymen to keep calm and deescalate this situation.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

pamoja na kuwa hii siyo hotuba bora kabisa, ‘ufahamu wa uraia’ umefafanuliwa vizuri sana: kila mmoja ana haki zake za asili, na pia, kila mmoja ana wajibu wake wa asili.

英語

though this is not the best speech, ‘citizenship awareness’ has been described very clearly: everyone has natural rights, so everyone also has natural responsibilities.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

dai la kuwanyang’anya ardhi linakuja kutoka kwa jeshi la brazil, ambalo linakusudia kuongeza makazi kwa maafisa wake katika eneo hilo, mpakani mwa eneo la salvado na simoes filho, katika jimbo la bahia… uzao wa watu wa asili ya afrika ambao wakati wa ukoloni, walichukuliwa kutoka kwenye nchi yao kuwa watumwa nchini brazil, wa-quilmbola sasa wanajiona kwenye tishio jingine la kupoteza nyumba zao, pamoja na haki waliyonayo ya kumiliki ardhi wanayoishi inayolindwa na katiba ya nchi.

英語

the claim for the land comes from the navy of brazil, that intends to broaden a condo for its officers in that territory, in the border area between salvador and simões filho, state of bahia... descendants of original peoples from africa who, during colonialism, were taken from their land to become slaves in brazil, the quilombolas now see themselves under threat of losing their homes again, despite their right to the land they inhabit enshrined in the constitution.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
8,040,586,687 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK