検索ワード: ureno (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

ureno

英語

portugal

最終更新: 2015-04-22
使用頻度: 2
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

nimekulia ureno na ninajisikia mreno.

英語

i grew up in portugal and i feel portuguese.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

cape verde: midahalo kuhusu vijana na siasa inayoendelea huko ureno

英語

cape verde: debates on youth and politics happening in portugal · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

inalindwa na ki-kastilia (kihispania cha kawaida) kutokana na kuwa karibu na ureno kijiografia.

英語

it receives protection from the castilian (common spanish) from being geographically close to portugal.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

waandamanaji walikuwa ni asilimia nne ya idadi yote ya watu, na hivyo kuwa maandamano makubwa zaidi tangu koloni hilo la zamani la ureno halijakabidhiwa kwenye mamlaka ya china mwaka 1999.

英語

protesters constituted 4 percent of the total population, the largest demonstrations since the former portuguese colony was handed over to china's control in 1999.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

baadaye akashauriwa kwenye ureno, hata hivyo alisema hakuwa anawaamini wareno na kusema alijisikia afadhali angeenda guinea-bissau kuwa na wale wanaohusika na wakati huo wa mpito.

英語

further counselled to go to portugal, mp said she did not trust the portuguese and said she would feel better in guinea-bissau with those responsible for the transition.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

bunge la ureno lilipiga kura ili kuongeza hali ya dharura ya kitaifa kwa siku 15; kura hiyo ilipita kwa kura 215 za uungwaji mkono, kumi za wabunge waliochagua kutoshiriki kura na kura moja ya aliyepinga.

英語

the parliament of portugal voted to extend the national state of emergency by 15 days; the vote passed with 215 votes in favor, ten abstentions, and one vote against.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

hali ilikuwa mbaya zaidi pale serikali iliposemekana kupeleka kiasi cha dola milioni 3 za marekani kwa ajili ya kikosi cha taifa cha mpira wa miguu ghana black stars kabla ya mechi yao ya kombe la dunia dhidi ya ureno, ambapo ghana ilipoteza mchezo huo.

英語

the tipping point was when the government allegedly delivered 3 million us dollars appearance fee in cash to the ghana black stars ahead of their world cup match against portugal, a match that was lost.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

kabla ya upungufu wa madaktari 14,500 katika taifa la amerika ya kusini, serikali ya dilma rousseff ilipitisha sera ya "mais medicos" (mpango wa madaktari zaidi), ambayo itaweka mikataba na madaktari kutoka hispania, ureno, na cuba, kati ya mataifa mengine.

英語

before the deficit of 14,500 physicians in the south american nation, the government of dilma rousseff approved the "mais medicos" (more doctors) program, which will contract doctors from spain, portugal, and cuba, among other nations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,740,134,049 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK