プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
mbinu za kukomesha utovu wa nidhamu
methods to end misconduct
最終更新: 2020-10-25
使用頻度: 2
品質:
参照:
watawa wameripotiwa kushiriki katika matukio kadhaa yaliyohusisha utumiaji nguvu au utovu wa nidhamu ikiwemo kushiriki tendo la ngono au kutazama picha na video za ngono.
on several occasions, monks have been found of engaging in violent behavior or misconduct including having sex or watching pornography.
mwanablogu aliyeko mjini chennai, india, prahalathan kk, anasema kuwa kushangilia kifo cha prabhakaran ni utovu wa heshima kwa raia waliouwawa katika harakati za kuwezesha maangamizi ya ltte.
prahalathan kk, a blogger in chennai, india, says that rejoicing in prabhakaran's death is a diservice to the civilians killed in order to make the ltte's defeat possible.
tusi la serukamba, “f**k you'”, lilipelekea mmoja wa wapiga kura kutoka katika jimbo la serukamba, aliyejitambulisha kwa jina la dr mvano khalidi, kutoa maoni yake kwa kuomba msamaha kupitia ukurasa wa facebook kufuatia utovu wa nidhamu wa mbunge wake:
serukamba's 'f**k you' moment prompted one commenter, a voter from his constituency, identifying himself as dr mvano khalidi, to apologize on facebook for his mp's conduct: