検索ワード: vikaragosi (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

vikaragosi

英語

cartels

最終更新: 2021-04-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hakuwa na haja ya kuogopa kwa sababu vikaragosi vingine vilimpokea kwa bashasha”

英語

she didn't have to worry because the other muppets enthusiastically welcomed her."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

wakati kipindi cha sesame street kinatazamwa katika zaidi ya nchi 140, kila toleo huzungumzia masuala yanayotokea kwenye jamii husika na kwa kumtumia vikaragosi tofauti.

英語

while sesame street is seen in over 140 countries, each version addresses local issues and has different muppets.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

aliyekuwa mchoraji huru wa picha za vikaragosi wa jarida la uchumi la mashariki ya mbali tokea mwaka 1997 - 1999, bun heang ung anaishi australia hivi sasa.

英語

a former freelance editorial cartoonist for far eastern economic review from 1997-1999, bun heang ung presently lives in australia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hivi karibuni, kwa mujibu wa wikileaks, blogu ya mchoraji huyu wa vikaragosi vya kisiasa imezuiwa nchini thailand, ambako wizara yake ya habari na mawasiliano inashika hatamu za kufunga tovuti ambazo zinamtukana mfalme.

英語

recently, according to wikileaks, the political cartoonist's blog is being blocked in thailand, where its ministry of information and communication technology is in charge of banning internet sites that violates its kingdom's lèse majesté.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama kutakuwa na mapinduzi yoyote ya kijeshi nchini naijeria, yanapaswa yalengwe kwa vikaragosi wasio na maana wanaojiita jiko/choo cha baraza la mawaziri la yar’ardua amabo wamejipatia yale ambayo hawana.

英語

if there should be any coup at all in nigeria, it should be targetted at those useless clowns calling themselves yar'adua's kitchen/toilet cabinet that have arrogated to themselves what they don't have.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

miji ya harlem ya mashariki iligubikwa na hamasa kubwa ya kuona gari la matairi manne linalokokotwa na farasi likipita, mamajusi watatu wakiwa juu ya magongo, ngoma za watu wa peru, capoeira, vikaragosi vikubwa mithili ya watu, na pia ngamia wawili wanaofugwa katika sehemu maalumu ya kufugia wanyama wasiohitajika tena huko new jersey.

英語

so much so that the streets of east harlem were paralyzed to see the passing of the carriages, the magi on stilts, peruvian dances, capoeira, giant puppets and even two camels that live in a sanctuary in new jersey.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,781,967,207 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK