検索ワード: wachangiaji (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

wachangiaji

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

wengi wa wachangiaji wa redio zamaneh walikuwa na bado ni mabloga.

英語

most of radio zamaneh's contributors were, and still are, bloggers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

je, jumuiya ya wachangiaji ingependa mimi niache kuendelea kuendesha ukurasa huu?:) ~ mwendeshaji

英語

would the community like me to step down? :) ~ the administrator

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama ilivyo desturi, nawashukuru wachangiaji, wazalishaji na watunga nyimbo waliosaidia kufanya warsha ifaulu.

英語

as ever, thanks to all of our contributors, producers and music makers who help to make this happen.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

miongoni mwa walioshitakiwa ni hisham almiraat, ambaye ni mtabibu na kwa muda mrefu amekuwa mmoja wa wachangiaji wa jumuia yetu.

英語

among those charged is hisham almiraat, a medical doctor and long-time member of our community.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hatujajidai kumiliki kitu hiki au kudai eti tuliandika makala. hii ndio maana mradi huu unajitahidi kuweka majina ya sahihi ya wachangiaji kwa kila makala.

英語

we never pretend that we own this stuff or that we wrote the articles, this is why this project strives to make the correct attributions to each and every article

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mkutano wa sauti za dunia ni mahali pa kupatanika na kufahamu mengi zaidi kuhusu wahariri, waandishi na wachangiaji wengine waliosafiri kutoka kila kona ya dunia.

英語

the #gv2012 summit is a place to meet and find out more about our authors, editors and contributors who travelled from all corners of the world.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

global voices imekuwepo pale wakati mapinduzi yalipotokea, wakati tawala za kidikteta zikianguka, na matokeo ya matumizi ya mtandao yaliposambaa katika miji na mitaa ya wachangiaji wetu wanaoripoti kutoka duniani kote.

英語

global voices has been there as revolutions happened, dictatorships fell, and network effects rippled through the cities and neighborhoods of our contributors reporting from around the world.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

makala iliyofuata wakati wa siku ya kublogu kwa vitendo duniani ilikuwa ni mfuko wa maendeleo ya wanawake wa afrika (awdf) ambao wachangiaji ni bisi na roselyn wa awdf.

英語

next to post on blog action day was the african women’s development fund (awdf) whose contributors are awdf, bisi and roselyn.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

umaarufu wa haraka wa mradi huu unatokana haswa na urahisi wake: wachangiaji wanaweka tu kiungo habari katika picha zao na kuandika #nepalphotoproject, na kisha kujumuisha na maelezo kidogo yanayohusiana muktadha wa picha pamoja na wahusika katika picha ile.

英語

the increasing popularity of the project is due primarily to its simplicity: contributors merely add a hashtag to their images, writing #nepalphotoproject, and include a short caption about the photo's context and characters.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,800,425,986 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK