検索ワード: wachezaji (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

wachezaji

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

wachezaji wa mchezo

英語

rangers

最終更新: 2020-01-09
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wachezaji wote walikuwa vizuri sana.

英語

all of the players were great.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hutakuwa unaangalia timu za nyumbani au wachezaji.

英語

you won't be watching your local teams or players.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wachezaji wa mpira wa miguu kama mshambuliaji kwa kiswahili

英語

football players like striker in swahili

最終更新: 2023-03-19
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wachezaji wa simba wakipiga dua kabla ya kuanza mechi.

英語

simba players in a huddle before kick-off.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwamuzi alipopiga filimbi kuashiria ni mapumziko, wachezaji wakahisi kupumua.

英語

when the referee blew his whistle for half-time, the players seemed relieved.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wachezaji walitishia kususia mchezo huo kama wasingepewa kiasi hicho cha fedha kabla ya mchezo huo.

英語

the players had threatened to strike if they did not receive their money before the match.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kundi la waasi linalojulikana kwa jina la flec na ambalo limedai kuhusika na shambulizi hilo lilieleza kwenye taarifa yake kwamba wao walikuwa wamelenga kushambulia msafara wa polisi na si timu ya wachezaji ya togo.

英語

flec, the rebel group which has claimed responsibility for the attack, indicated in a statement that the police envoy, and not the togolese players, were the target.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

dakika chache baadae, baada ya mwamuzi kupiga kipenga kuashiria pambano kuisha, baadhi ya wachezaji wa simba walianguka uwanjani, wasiamini kilichotokea.

英語

a few minutes later, after the referee had blown for full time, some simba players collapsed to the ground, not quite believing what they had just pulled off.

最終更新: 2024-03-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

waandishi wa habari, watazamaji wa televisheni, makocha na baadhi ya wachezaji wa kigeni walitoa wito wa kusitisha matumizi ya kifaa hiki katika kombe la dunia la 2010 nchini afrika kusini.

英語

journalists, tv viewers, coaches and some foreign players called for a ban of the instrument during the 2010 world cup in south africa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika jiji la rosario, walikozaliwa lionel messi, Ángel di maría na maxi rodríguez, wachezaji watatu nyota wa kikosi cha ajentina, wakazi walisherehekea kama ifuatavyo:

英語

in the city of rosario, where lionel messi, Ángel di maría and maxi rodríguez, three players from the argentinian squad, were born, residents celebrated like this:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kikosi kazi cha fifa dhidi ya ubaguzi wa rangi kilifika mahali pa kutokukubaliana na maamuzi ya kamati ya nidhamu kuachana na adhabu dhidi ya mashirikisho ya mataifa kadhaa kwa maneno ya kushangilia yaliyokuwa na sura ya ubaguzi wa rangi na kimapenzi yaliyotolewa na mashabiki ambayo hayakuwa yakilengwa kwa wachezaji fulani fulani, bali kwa timu nzima.

英語

fifa's task force against racism disagreed with the ruling of its disciplinary panel to decline to punish national federations for racist and homophobic chants by fans because the fans were not targeting one player in particular, but entire teams.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

israel hivi sasa inafarijika kwamba ni ukweli unaojulikana kuwa kila mmoja katika kanda anataka irani ishughulikiwe na wapo upande wao, na kwamba ushirika wa sunni-israel hivi sasa umehakikishwa kuwa ni wa kweli na kwamba unawajumuisha wachezaji wote wa kisunni katika kanda hiyo.

英語

israel must be relishing that its public knowledge now that everyone in the region wants iran dealt and is on their side, and that the sunni-israeli alliance is now proven to be both real and inclusive of

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

fc anzhi ni timu iliyopo makhachkala, jamhuri ya dagestan, na inamilikiwa na bilionea wa ki-rusi suleyman kerimov, ambaye tangu mwaka 2011 amekuwa akitumia mapesa yake kuwanunua wachezaji wazuri kutoka kwenye timu za ulaya kama fc milan.

英語

fc anzhi is based in makhachkala, the republic of dagestan, and is owned by russian billionaire suleyman kerimov, who since 2011 has been spending reams of cash to poach good players from european clubs like fc milan.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mashabiki wa ajentina, wakati huo huo, wanaweza kusherehekea kwa sababu watakuwana fursa ya kutazama timu yao ikicheza dhidi ya ujerumani katika fainali kama lionel messi, mmoja wapo wa wachezaji maarufu zaidi kuwahi kuwepo, atakavyokuwa akicheza na ezekiel lavezzi pembeni mwake kwa kumkabili.

英語

argentina fans, meanwhile, can rejoice because they will have an opportunity to watch their team play against germany in the final as lionel messi, one of the all time greats, plays with heartthrob ezekiel lavezzi beside him in attack.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,748,046,114 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK