検索ワード: wahafidhina (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

wahafidhina

英語

conservative

最終更新: 2018-04-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

waafrika kusini weupe wachache asmbao ni wahafidhina wamejiunga na pambano la kwenye ulimwengu wa blogu na wanauonyesha unafiki.

英語

a few old-school white south african's have joined the fray in the blogosphere pointing out the hypocrisy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nina hakika kuwa kuna wanawake wengi katika nchi yangu ambao wanafikwa na hali hii, hasa wale wa kizazi cha zamani au wale wahafidhina.

英語

i am sure there are lots of women here in my country that experience that, especially from the older generation or the conservatives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hatuko nyuma nyie mafidhuli, sisi ni wahafidhina, yaani, kama unapotaka kwenda kujichanganya na mtu wa jinsia tofauti kuna maeneo maalumu.

英語

we're not backwards you morons, we're conservative, i.e. if you want to go and mingle with the opposite sex you go to a specific place.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na kama vile wanawake wote wa misri walikuwa wakiungoja muujiza huo wa bikra ya kutengeneza, wabunge wahafidhina wanataka bidhaa hiyo ipigwe marufuku na mwagizaji yoyete afukuzwe ama kukatwa kichwa.

英語

and as if egyptian women were all waiting for the miracle hymen to embark on pre-marital sex, conservative parliament members want the product banned and any importer exiled or beheaded.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@nezar: kituo cha jazeera kwa muda wa hivi karibuni kimekuwa cha kiislamu kama ambavyo fox news kimekuwa cha wahafidhina wa republican nchini marekani kwa miaka mingi.

英語

@nezar: al jazeera cable has recently become to islamists in egypt what fox news has been to fundamentalist republicans in the us for many years.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na ingawa latipov anasema kwamba mabishano hayo hayakuanzia kwake, lakini ukweli kuwa rangi yao ilikuwa sababu tosha kwa wahafidhina wa kirusi kudhania kuwa wa-rusi hao wawili walifanya hayo katika jitihada za kujilinda.

英語

and although latipov says that the altercation was unprovoked from his side, the fact of his ethnicity was enough for russian nationalists to assume that the two russian men were acting in self-defense.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama muislamu, ninajua kuwa qur’an inahubiri uadilifu katika kufanya mapenzi kwa wanaume na wanawake, lakini kushupaliwa huku kwa wanawake na wahafidhina kunamaanisha kuwa ni wanawake tu ambao wanatarajiwa kuzingatia makatazo juu ngono nje ya ndoa.

英語

as a muslim, i know the qur’an preaches chastity for men and women, but the conservative obsession with women means only females are expected to abide by the prohibition on extramarital sex.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wakati redio ya uholanzi ilporusha hewani tafsiri ya kiarabu kuhusu zana ya kutengeneza bikira ya bandia, pale gazeti la youm7 lilipotangaza kuwa bidhaa hiyo itaanza kupatikana kwenye soko la misri, wabunge wahafidhina huko misri walitaka bidhaa hiyo izuiwe na muagizaji yeyote afukuzwe nchini au akatwe kichwa, na habari hiyo ilipozua kelele kwenye ulimwengu wa blogu wa misri, mohamed al rahhal alinunua zana hiyo maalum ya kutengeneza bikira ya bandia.

英語

when radio netherlands broadcasted an arabic translation of the artificial virginity hymen kit, when youm7 newspaper announced that the product will be available on the egyptian market for le 83, when conservative parliament members in egypted wanted the product banned and any exporter exiled or beheaded, and when it caused such an uproar in the egyptian blogosphere, mohamed al rahhal just had to buy one.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,720,576,836 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK