検索ワード: wahanga (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

wahanga

英語

muscle

最終更新: 2018-04-17
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kumekuwa na wahanga, wengi wamejeruhiwa...

英語

there have been victims, and many injured...

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sisi ni wahanga wa kukosekana kwa uwajibikaji wa makusudi.

英語

we are victims of institutionalized misconduct.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ni hofu kubwa kwa mauaji na huzuni kuu kwa wahanga:

英語

murder is the only acceptable resolution in this case.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

picha zinazozunguka mitandaoni kuwafariji wahanga wa shambulio la paris.

英語

memes widely shared in solidarity with the victims of the paris attacks.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

je, wahanga hao walikuwa na utii uliopindukia kiasi cha kushindwa kuokolewa?

英語

were they too "obedient" to evacuate?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

je, kampeni hii itabadili namna wahanga wa ubakaji wanavyoonekana katika jamii?

英語

will it change the way rape survivors are seen in the society?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, hakuna wahanga wengine ukiacha wale waliokuwa wameokolewa katika eneo la ajali.

英語

however, there are no additional survivors besides those initially rescued at the accident scene.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

pia, ni idadi ya wahanga wa mashambulizi ya kigaidi ya septemba 11, zaidi ya mara 15.

英語

it’s also the number of victims in the 9/11 terrorist attacks, 15 times over.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

magaidi wanapoandikwa sana na majina yao yakionekana kuendelea kuwa hai, wahanga wa ugaidi wao wanasahaulika kama tarakimu tu

英語

as attackers get headlines and their names live in immortality, their victims are forgotten as just statistics. #147notjustanumber — dm licker (@owaahh) april 6, 2015

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maelezo kutoka kwa wahanga wa tukio hili zilichochea watu kuonesha mshikamano wao kutoka katika maeneo mbalimbali duniani kote.

英語

the tragic accounts of the shooting by survivors triggered a show of solidarity worldwide.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wakati wahanga wengi sana wa ghasia hizi za kutisha na mateso hawajawahi kuomba maisha yao wala yale ya familia zao yaharibiwe.

英語

while to many victims of this horrific violence and suffering never asked for their lives and those of their families to be so disrupted.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wakati majina ya washambuliaji yakichapishwa sana, wahanga wa tukio hilo wamekuwa wakitajwa kwa tarakimu pekee: 147.

英語

while names of the attackers have been widely published, the victims have often been reduced to a number: 147.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama ilivyo kwa tukio hili, mamia ya akina dada zetu na mama zetu wazawa wamebaki kuwa wahanga wa kubakwa na mauaji kwa muda mrefu.

英語

just like this, hundreds of our indigenous sisters and mothers have been becoming the victims of rapes and murders for a long time.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hadi sasa taasisi hii imeshapanuka kiasi cha kuwa mtandao wa kimataifa wa wataalamu wa tiba ambao jukumu lao ni kuwasaidia wahanga kujenga upya makazi yao na maisha yao.

英語

it has grown to become an international network of medical professionals who help victims rebuild their homes and livelihoods.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

familia za wahanga zilikataa kuzika miili ya ndugu zao na wametangaza kuwa wataendelea na maandamano ya kupinga unyanyasaji wa kikabila hadi hapo jeshi litakapochukua hatua ya kukomesha mauaji haya ya kinyama.

英語

the families of the victims have refused to bury their dead and have announced that they will continue a sit-in unless the army takes action against the killing sprees.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

machafuko ya juni 2012 huko magharibi mwa myanmar yanayowahusisha rohingya na rakhine yaligusa mashirika ya kimataifa ya kiislamu pamoja na nchi mbalimbali katika kujitolea kusaidia kutatua mgogoro huu pamoja na kutoa misaada kwa wahanga.

英語

the june 2012 riots in western myanmar involving rohingyas and rakhine prompted several international islamic organizations and countries to extend their offer of assistance to resolve the conflict and deliver aid to victims.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

djouma na ibahim ni wahanga wa shambulizi la kikatili lililofanywa na wanamgambo waaasi, tukio lililokatisha maisha ya ndugu watano wa damu katika jamhuri ya afrika ya kati, karibu na mpaka wa kameruni.

英語

djouma and ibahim are the two lone survivors of an incredibly violent attack by militiamen that took the lives of 5 of ibrahim's siblings in the central african republic, near the border with cameroon.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

daktari wa ki-peru ni mmoja wa wahanga waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi lilitokea kenya: wizara ya mambo ya kigeni imethibitisha kwamba juan jesús ortiz...

英語

peruvian physician among the mortal victims of terrorist attack in kenya: ministry of foreign affairs confirmed that juan jesús ortiz...

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa jinsi shauri hili lilivyo, serikali ya india ilipaswa haraka sana itangaze fidia ya lakhs 2 (takribani dola za kimarekani 3,367) kwa familia za wahanga.

英語

as far as this case is concerned, the indian government was quick to announce a compensation of 2 lakhs (about 3,367 us dollars) to the victims family.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,770,782,354 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK