検索ワード: wahariri (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

wahariri

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

wafanyakazi wa wahariri

英語

staff writer

最終更新: 2019-01-08
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wahariri wa kamusi elezo ya wikipedia kwa kijerumani walirudisha maandishi ya awali yaliyokuwepo kwenye makala hiyo, kila mara.

英語

german wikipedia editors reverted the article's language to the original text, every time.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

angalia mapitio ya kimaeneo kwa mwaka 2011 yaliyofanywa na wahariri na waandishi ili kupata taswira ya haraka ya kile ambacho huenda ulikikosa.

英語

see the 2011 regional reviews by our editors and authors for a glance of what you may have missed.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wahariri wa global voices pia wanawaelekeza wasomaji wao zilipo makala zinazohusiana na uwazi, rushwa na uwajibikaji serikalini katika ulimwengu wa blogu.

英語

global voices editors also point readers to a number of posts around the blogosphere related to transparency, corruption, and government accountability.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mtandao wa global voices kwa sasa unapatikana katika zaidi ya lugha 30 tofauti shukrani za pekee kwa wahariri na wafasiri wetu wanaojitolea kwenye mradi wetu wa lingua.

英語

global voices is currently available in more than 30 different languages thanks to the amazing volunteer editors and translators of our lingua project.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika global voices tunawashirikisha waandishi, wahariri, na watafsiri, ambao hutufahamisha kuhusu ukiukwaji wa uhuru wa kujieleza na haki za binadamu.

英語

at global voices we engage a community of authors, editors, and translators, who help keep us all informed of free speech and human rights abuses.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hii ni sababu ambayo reuters ilitoa usaidizi wa kiini katika miaka yetu mitatu ya kwanza, na sababu ambayo mashirika mengi ya habari yanaendelea kufanya kazi na wahariri wet una kuwasiliana na watu wanaojitolea kwa ajili ya mahojiano.

英語

this is why reuters provided critical core support in our first three years, and why a many news organizations continue to work with our editors and to contact our volunteers for interviews.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@simonallison:@sheofnations kweli, karibu kila tunachosoma kuhusu afrika kutokea afrika kusini kimenyofolewa na wahariri wa kizungu na kimarekani kutoka kwa hadhira yao...

英語

@simonallison: @sheofnations yep, almost everything we read about africa in sa is handpicked by european and american editors for their audiences...

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

chanzo cha picha na: njeri wangari msingi mkuu wa hoja yake ni jinsi wamiliki wa vyombo vikuu vya habari wanavyodharau suala hili kama wakosefu hasa pale wanapoanikwa hadharani kupitia baruapepe, wakati huohuo hakuna hatua za kinidhamu zinazochukuliwa dhidi ya wahariri.

英語

photo source: njeri wangari her main bone of contention is in how the mainstream media owners are downplaying this as the culprits when exposed through numerous emails to the editor do not receive any disciplinary action.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kila siku katika global voices wahariri na waandishi pamoja na watafsiri wetu wa kujitolea wanafanya kazi kuvuka mipaka ya nchi zao, saa za mahali waliko na kuvuka viambaza vya lugha kukuletea habari zinazotokana na sauti za wananchi wa kawaida ambazo kwa kawaida hazithaminiwi sana vyombo vikuu vya habari, kukuleta taarifa za uhuru wa kujieleza mtaoni na kuwaunga mkono wale wote wanaoungana na majadiliano haya ya mtandaoni.

英語

every day at global voices our editors and volunteer authors and translators work across borders, time zones and language barriers to bring you important citizen-driven stories the mainstream media doesn't have the time or interest to cover, report on online freedom of expression and support others in joining the global conversation.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baada ya uongozi mpya wa qatari kutangaza kuwa wafanyakazi 250 watapunguzwa kazi katika mtandao wa habari unaosomwa sana wa islamonline (iol), mamia ya wafanyakazi, wahariri, na waandishi wa habari walianza mgomo wa kuonyesha hasira yao.

英語

after the new qatari administration announced that 250 employees in the widely read islamonline news website (iol) would be laid off, hundreds of employees, editors, and journalists started an angry sit-in.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,793,741,482 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK