検索ワード: wahitimu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

wahitimu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

uwiano wa wahitimu wa vyuo na upatikanaji wa ajira ni kwa sasa unaaminika kuwa mdogo kabisa katika historia ya china. .

英語

the ratio of college graduates to jobs is believed to be the lowest in chinese history .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nchini ufaransa sheria ya guéant inazuia uwezekano wa wahitimu wa masomo kutoka nje kuajiriwa, jambo ambalo limezua miitiko mablimbali.

英語

in france, the guéant act restricts foreign graduates' possibility of recruitment, giving birth to various reactions.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

labda kwa wahitimu wa vyuo wa siku za hivi karibuni, jambo kubwa linalowakabili si namna ya kulibadilisha taifa, bali namna ya kuhimili hali ya uchumi inayosikitisha.

英語

perhaps for most recent college graduates, the most pressing issue facing them is not how to change the nation, but how to survive in a gloomy economy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati takribani wahitimu wa vyuo milioni saba wanaingia katika soko la ajira, ajira mpya milioni tisa tu ndizo zilizoandaliwa, na wahitimu wa vyuo vya china ni lazima wagombee ajira pamoja na wanafunzi wanaorejea kutoka nchi za nje walikokwenda kusoma na pia wahitimu wa shule za upili na wale wa vyuo vya ufundi.

英語

while almost seven million college graduates are entering the job market, only nine million new jobs have been created, and college graduates must compete with returning students from abroad, as well as high school graduates and trade school graduates.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sera mpya ya elimu iliyozinduliwa na rais jakaya kikwete mnamo februari 13, 2015, inayokwenda sambamba na mpango wa taifa kuelekea 2025 inarefusha elimu za msingi kutoka miaka saba ya sasa mpaka miaka 11, na kuifanya elimu hiyo kuwa bure ikiwa ni pamoja na kuondoa mtihani wa taifa kwa wahitimu wa elimu ya msingi kuingia sekondari.

英語

the new education system launched by president jakaya kikwete on february 13, 2015, in line with national vision 2025 will also extend basic education from seven years to 11 years, provide free education at primary and education levels and abolish national examinations for primary school levers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati wahitimu wa vyuo vya china wakishindwa kuukubali ukweli na kuzisahau ndoto zao kufuatia kukabiliana na gharama kubwa za vitu pamoja na kushindwa kulipia gharama za pango la nyumba mara baada ya kutoka vyuoni, vijana wa marekani wanaweza kuuchukua mustakabili wa nchi yao kama sehemu ya mikakati yao; wameshajengewa ufahamu imara wa uraia, wanafikia malengo yao kwa haraka na pia wanawajibika kwa ajili ya maendeleo ya nchi yao.

英語

while chinese college graduates succumb to reality and lose their dreams in the face of high prices and unaffordable housing right after college, american youth can make the future of their country their personal mission; they’ve been endowed with a strong sense of citizenship, they hold fast to their dreams, and they take the responsibility for the nation’s development.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,749,108,941 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK