検索ワード: wajukuu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

wajukuu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

babu huwajali watoto na wajukuu

英語

grandfather cares for the children and grandchildren

最終更新: 2022-11-10
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

au mnasema kuwa ibrahim na ismail na is-hak na yaakub na wajukuu zao walikuwa mayahudi au wakristo?

英語

[ask them,] ‘do you say that abraham, ishmael, isaac, jacob, and the tribes were jews or christians?’

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa miongo kadhaa, utamaduni wa familia kuishi pamoja nchini india ulimaanisha kuwa vizazi kadhaa kuanzia babu mpaka wajukuu viliishi kwenye nyumba moja.

英語

for centuries, the joint family tradition in india meant that several generations from grandparents to grandchildren lived under the same roof.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sisi tumekuja hapa kuwaleteeni habari njema: jambo lile mungu alilowaahidia babu zetu amelitimiza sasa kwa ajili yetu sisi tulio wajukuu wao kwa kumfufua yesu kutoka wafu.

英語

and we declare unto you glad tidings, how that the promise which was made unto the fathers,

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

pia kutoka niger, sakina, binti yake asma na wajukuu wake wawili ni wakimbizi katika ain guezzam katika wilaya ya tamanrasset, kusini mwa jangwa la sahara.

英語

also from niger, sakina, her daughter asma and her two grandchildren are refugees in ain guezzam in the wilaya of tamanrasset, at the extreme south of the sahara desert.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na tulimpelekea wahyi ibrahim na ismail na is-haka na yaakub na wajukuu zake, na isa na ayub na yunus na harun na suleiman, na daud tukampa zaburi.

英語

and we inspired abraham, and ishmael, and isaac, and jacob, and the patriarchs, and jesus, and job, and jonah, and aaron, and solomon. and we gave david the psalms.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini mjane aliye na watoto au wajukuu, hao wanapaswa kujifunza kutimiza wajibu wao wa kidini kwa jamaa zao wenyewe na hivyo kuwalipa wazazi wao na wazee wao, kwani hilo ni jambo la kupendeza mbele ya mungu.

英語

but if any widow have children or nephews, let them learn first to shew piety at home, and to requite their parents: for that is good and acceptable before god.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wao ni wajukuu wa mababu, naye kristo, kadiri ya ubinadamu wake, ametoka katika ukoo wao. mungu atawalaye juu ya yote, na atukuzwe milele! amina.

英語

whose are the fathers, and of whom as concerning the flesh christ came, who is over all, god blessed for ever. amen.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na mwenyezi mungu amekuumbieni wake katika jinsi yenu, na akakujaalieni kutoka kwa wake zenu wana na wajukuu, na akakuruzukuni vitu vizuri vizuri. basi je, wanaamini upotovu na wanazikataa neema za mwenyezi mungu?

英語

and allah has created for you wives of your own breed, and has given you from your wives, sons and grandsons, and has provided sustenance for you from good things; so do they believe in falsehood and deny the favours of allah?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

au mnasema kuwa ibrahim na ismail na is-hak na yaakub na wajukuu zao walikuwa mayahudi au wakristo? sema: je, nyinyi mnajua zaidi au mwenyezi mungu?

英語

“in fact you claim that ibrahim, and ismail, and ishaq, and yaqub, and their offspring were jews or christians”; say, “do you know better, or does allah?”; and who is more unjust than one who has the testimony from allah and he hides it?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@ishtank: kwa upande mwingine, fikiria hadithi tutakazowasimulia wajukuu wetu. “kaaka, ulikuwa wapi siku rangi ya waridi #pinkstuff #ilipotawala kwenye #twita?"

英語

@ishtank: on the other hand, think of the stories we'll tell our great-grandchildren. "kaaka, where were you the day #pinkstuff #trended on #twitter?"

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,792,404,543 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK