検索ワード: waliokamatwa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

waliokamatwa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

wanablogu sita waliokamatwa jijini addis ababa.

英語

six of the detained bloggers in addis ababa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

waandamanaji wanadai kuachiliwa huru kwa wanafunzi waliokamatwa na vikosi vya usalama vya venezuela.

英語

protesters are demanding the release of students arrested by venezuelan security forces.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jenerali ricardo solar anasema kuwa idadi ya watu waliokamatwa baada ya maandamano ya wanafunzi inafikia 101.

英語

general ricardo solar reports that the number of people under arrest after the student march is 101.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

matairi yalichomwa katika maeneo yasiyo ya makazi huku kukiwa na mabango karibu yanayotaka watu waliokamatwa kuachiwa huru.

英語

tires were burnt in non-residential areas with posters next to them demanding the release of the detainees.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

melody sundberg anachambua uhuru wa kujieleza nchini ethiopia baada ya wanablogu wa ethiopia waliokamatwa kukaa siku 100 gerezani:

英語

melody sundberg analyses freedom of expression in ethiopia after detained ethiopian bloggers spent 100 days in prison:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

justice matters ni blogu inayoripoti kuhusu kesi ya wanablogu wa zone9 waliokamatwa na waandishi wa habari nchini ethiopia kwa ajili ya kutoa maoni yao:

英語

justice matters is a blog that reports on the trial of detained zone9 bloggers and journalists in ethiopia for expressing their opinions:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadhi ya waandamanaji 300 kwenye jiji la sao paulo waligeuka na kuanza kudai kuachiliwa huru kwa waandamanaji waliokamatwa kabla, lakini bado polisi ilijibu madai hayo kwa kuwakamatwa wengine sita zaidi.

英語

some 300 protesters in the city of sao paulo turned out to demand the release of previous demonstrators, yet the police responded by arresting six more.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

bahrain inaonekana kuwa adui wa mtandao wa intaneti kwa mujibu wa taarifa ya 2014 ya shirika la reporters without borders na imeshikilia nafasi ya pili kwa idadi ya waandishi wa habari waliokamatwa nchini humo kwa mwaka 2012 kwa mujibu wa kamati ya kulinda waandishi wa habari.

英語

bahrain is regarded as an enemy of the internet according to the reporters without borders' 2014 report and is ranked second in the number of detained journalists per capita in 2013 according to the committee to protect journalists.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

@nadineghazzawi:mvua inanyesha familia ya razan…haleluyah :)))))))) sasa ni rasmi, dada yetu yuko nje! natumainini ndivyo itakavyokuwa kwa dada na kaka zetu wengine wote waliokamatwa.

英語

@nadineghazzawi: t's raining razans… hallelujah :)))))))) <3 it's official, sis is out! hopefully the same goes to all arrested sisters and brothers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,771,085,339 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK