検索ワード: watafute namna bora (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

watafute namna bora

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

inatoa ushauri wa kitaalamu pamoja na namna bora ya kuishi na tembo kwa watu wanaomiliki tembo kwa ajili ya kujipatia kipato.

英語

it provides technical and livelihood assistance to elephant owners or mahout who depend on the elephants for their daily income.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

warsha hii iliwawezesha vijana hawa wenye ulemavu kwa kuwapatia ujuzi wa namna bora ya kufanya kazi na hata kuchukua usukani wa vyombo vya habari hasa vya kijamii pamoja na mbinu za mawasiliano na kuandika.

英語

the workshop empowered persons with disability with techniques on how to handle and take over media especially the social media and included communication and writing techniques.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ijumaa hii kwenye mazungumzo ya gv timu ya mradi wa global voices unaosaidia sauti changa kusikika (rising voices) itakuwa ikijadili namna bora ya kushinda shindano la ufadhili wa miradi midogo.

英語

this friday on gv face the rising voices (rv) team find out best practices for winning the rising voices microgrant competition.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa kutenda papo hapo bila ya kusubiri ushauri wa namna bora ya kwenda mbele kutoka kwa mtu yeyote, wanafunzi walionyesha kwamba walikuwa na uwezo wao wenyewe, kwa kutambua kwamba ili kukabiliana na hali hiyo, ilikuwa ni muhimu kwao kuingilia kati na kuhamasisha.

英語

by acting spontaneously without waiting for a go ahead word from anyone, young students demonstrated that they were capable on their own, to realize that to deal with the situation, it was necessary for them to intervene and mobilize.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

英語

strengthen nutrition programs targeting the most vulnerable groups, and their access to adequate nutrition; enhance efficiency of budgetary expenses; improve management of healthcare human resources; introduce risk-free delivery kits; bring doctors back to health centers in rural areas.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,739,796,862 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK