検索ワード: watumiao (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

watumiao

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

wakati huo huo, raia watumiao mtandao wamegawanyika kuhusu ufanisi wa hatua hiyo.

英語

meanwhile, netizens have been divided over the efficacy of the move.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

raia wa afrika kusini watumiao mtandao walionekana kugawanyika sana kuhusiana na kampeni hiyo kwenye mtandao wa twita.

英語

before organising the campaign, ronnie kasrils was a member of the national executive committee (nec) of the anc for 20 years and a member of the central committee of the south african communist party (sacp) for 21 years.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

miitikio mingine iko kwenye mtandao wa twita, jukwaa la vyombo vya kiraia linalotumiwa zaidi na wana venezuela wengi watumiao mtandao.

英語

more reactions have also been shared on twitter, the citizen media platform of choice for most venezuelan netizens.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

raia watumiao mtandao walichukua muda kuanza kuzungumzia suala hili kwa kujua kuwa palikuwa na shitaka dhidi ya mhadhiri wa chuo kikuu kufuatia kile alichokuwa amekiweka kwenye ukurasa wake.

英語

the netizens were slow to react on this as they know that there had been a law suit against an university teacher for his facebook status.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wafilipino watumiao mitandao walikumbushana namna rais aquino alivyokuwa mwepesi kutoa muda wake kuhudhuria shughuli za zinazoandaliwa na makampuni makubwa wakati akikosekana kwenye majanga mengi makubwa yaliyoliathiri taifa.

英語

filipino netizens recalled how president aquino was quick to looking after big corporations and attending celebrity events while being absent in many of the big tragedies that befell the nation.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

habari za kuibuliwa kwa kashfa hii zimepokelewa kwa miitikio mbalimbali kwa (kuwapo) baadhi ya raia watumiao mtandao kuunga mkono hatua hizo za serikali wakati huo huo wengine wakionyesha kutokubaliana na rais kwa namna anavyoshughulikia masuala ya kitaifa.

英語

the recent disclosures have been met with mixed reactions with some netizens supporting the government's actions while others expressly disagreeing with the president in the manner he was handling national affairs.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
8,024,021,622 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK