プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
ich wünschte nur, ihr alle, die ihr hier auf seinem blog einen kommentar hinterlassen habt, würdet meinen mann kennen — ihr wäret nicht so hart dabei, sätze auseinanderzunehmen.
ninatamani kuwa nyie wote mliotoa maoni hapa na kwenye blogu ya mume wangu mngekuwa mnamfahamu mume wangu - msingekuwa wakali namna hii wakati mkichambua sentensi zake.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
ich glaube, manchmal denken wir, dass nur leute unser blog lesen, die uns kennen, und diese leute wissen, wie zu verstehen ist, was wir schreiben, anstatt es zeile für zeile auseinanderzunehmen, ohne uns überhaupt zu kennen.
nadhani kuwa wakati mwingine huwa tunafikiri kuwa ni watu wanaotufahamu pekee ambao husoma blogu zetu na watu hao hufahamu jinsi ya kuchukulia yale tunayoyaandika badala ya kuyachambua mstari kwa mstari pasina kutufahamu hata chembe.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質: